MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII
kiungo : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII

soma pia


MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII


UT0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
UT1a
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
UT1b
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Mstaafu Gaudenci Milanzi akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
UT1c
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanayoratibiwa na Bodi hiyo. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
UT1d
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Bibi. Devotha Mdachi akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius  Nyerere (JNICC).
UT2a
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akitembelea baadhi ya mabanda ya washiriki wa maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius  Nyerere (JNICC).
UT3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akimkabidhi mwakilishi wa Kampuni ya Ethiopia Airline tuzo ya kuthamini mchango wa kampuni hiyo katika kufanikisha maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) katika hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius  Nyerere (JNICC).
UT4
Baadhi ya washiriki wa maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam.
UT5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Taasisi zake mara baada ya kuzindua rasmi Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Nyerere (JNICC).
Picha na: Frank Shija – MAELEZO


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/makamu-wa-rais-afungua-kongamano-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII"

Post a Comment