title : Maisha : Abdallah Mrisho Auga Ukapera Jijini Dar es Salaam
kiungo : Maisha : Abdallah Mrisho Auga Ukapera Jijini Dar es Salaam
Maisha : Abdallah Mrisho Auga Ukapera Jijini Dar es Salaam
Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho, jana (Jumamosi, Sept. 30,2017) alifunga ndoa ya kifahari na Catherine Mdamu, iliyolifanya Jiji la Dar es Salaam lisimame kwa muda, ikifuatiwa na sherehe ya kukata na shoka iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City. Katika sherehe hiyo, wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers wakiongozwa na mkurugenzi wao, Eric Shigongo, jamaa na marafiki, walijumuika kula, kunywa mpaka kusaza na kucheza muziki mzuri, mpaka usiku sana huku kukiwa na 'special appearance' ya Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye.
Hivyo makala Maisha : Abdallah Mrisho Auga Ukapera Jijini Dar es Salaam
yaani makala yote Maisha : Abdallah Mrisho Auga Ukapera Jijini Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maisha : Abdallah Mrisho Auga Ukapera Jijini Dar es Salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/maisha-abdallah-mrisho-auga-ukapera.html
0 Response to "Maisha : Abdallah Mrisho Auga Ukapera Jijini Dar es Salaam"
Post a Comment