Maadhimisho ya siku ya maradhi ya akili duniani

Maadhimisho ya siku ya maradhi ya akili duniani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Maadhimisho ya siku ya maradhi ya akili duniani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Maadhimisho ya siku ya maradhi ya akili duniani
kiungo : Maadhimisho ya siku ya maradhi ya akili duniani

soma pia


Maadhimisho ya siku ya maradhi ya akili duniani


 Wauguzi wakiwa pamoja na Wananchi wakiungana pamoja na vituo mbalimbali vya afya katika maandamano ya  maadhimisho ya Kilele cha  Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Wauguzi wakiwa pamoja na Wananchi wakiungana pamoja na vituo mbalimbali vya afya katika maandamano ya  maadhimisho ya Kilele cha  Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Baadhi ya Watoto wenye maradhi ya akili waliohudhuria katika maadhimisho ya Kilele cha  Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Watoto wenye maradhi ya Akili wakionesha mchezo wa kuokota mbatata mbatata katika maadhimisho ya Kilele cha  Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Watoto wenye maradhi ya Akili wakionesha mchezo wa magunia katika maadhimisho ya Kilele cha  Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Mshindi wa mbio za magunia Salma Khamis Ame kutoka Skuli ya Mwanakwerekwe akipeleka mkono kusalimiana na mgeni Rasmi katika maadhimisho ya Kilele cha  Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Watoto wenye maradhi ya Akili wakishindana katika mashindano ya kula maandazi  katika maadhimisho ya Kilele cha  Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Mshindi wa mashindano ya kula maandazi Mahad Said Ali akisalimiana na Mgeni Rasmi Mbunge wa Jimbo la Magomeni Jamal Kassim Ali katika maadhimisho ya Kilele cha  Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Mbunge wa Jimbo la Magomeni Jamal Kassim Alikulia akicheza muziki pamoja na watoto wenye maradhi ya akili katika maadhimisho ya Kilele cha  Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Dk,Fadhil Muhammed Abdalla akitoa hotuba ya makaribisho katika maadhimisho ya Kilele cha  Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Asha Abdulla Juma akielezea machache kuhusiana na maradhi ya Akili katika maadhimisho ya Kilele cha  Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.

Mgeni Rasmi ambae ni Mbunge wa Jimbo la Magomeni Jamal Kassim Ali akitoa hotuba katika maadhimisho ya Kilele cha  Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala Maadhimisho ya siku ya maradhi ya akili duniani

yaani makala yote Maadhimisho ya siku ya maradhi ya akili duniani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Maadhimisho ya siku ya maradhi ya akili duniani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/maadhimisho-ya-siku-ya-maradhi-ya-akili_9.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Maadhimisho ya siku ya maradhi ya akili duniani"

Post a Comment