Kauli Tatu za Nape Nnauye Mwezi Huu

Kauli Tatu za Nape Nnauye Mwezi Huu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kauli Tatu za Nape Nnauye Mwezi Huu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kauli Tatu za Nape Nnauye Mwezi Huu
kiungo : Kauli Tatu za Nape Nnauye Mwezi Huu

soma pia


Kauli Tatu za Nape Nnauye Mwezi Huu


Mbunge wa jimbo la Mtama, Mh Nape Nnauye toka umeanza mwezi Oktoba, 2017  ametoa kauli zake tatu ambapo katika kauli ya kwanza alikuwa amelenga kuwapa ujasiri vijana na Watanzania kiujumla kuchukua hatua katika mambo fulani fulani.


Nape Nnauye alitumia mtandao wake wa twitter kuyasema hayo na kuwambia kuwa unapoona umekosa matumaini juu ya jambo fulani hupaswi kusita kufanya maamuzi huku ukimuamini Mungu kwani yeye hutoa njia.

"Mwenyezi Mungu hufanya njia pasipokuwa na njia! Amini na chukua hatua" alisema Nape Nnauye 
Aidha Mbunge huyo alizidi kuwasisitiza Watanzania na kuwataka kuwa na busara katika mambo yao hata mambo yanapokwenda ndivyo sivyo aliwataka kutumia busara zaidi
"Taulo likianguka, hatua ya kwanza chutama, ndio busara aaaakh" alisema Nape Nnauye 

Mbali na hili Nape Nnauye alimalizia kwa kauli hii
"Usipande miba kwenye njia yangu maana unaweza kesho kuja kwangu ukiwa peku! Weka akiba" 



Hivyo makala Kauli Tatu za Nape Nnauye Mwezi Huu

yaani makala yote Kauli Tatu za Nape Nnauye Mwezi Huu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kauli Tatu za Nape Nnauye Mwezi Huu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/kauli-tatu-za-nape-nnauye-mwezi-huu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kauli Tatu za Nape Nnauye Mwezi Huu"

Post a Comment