title : JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA KIKAO NA SHIRIKI LA VIWANGO TANZANIA (TBS) JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA KIKAO NA SHIRIKI LA VIWANGO TANZANIA (TBS) JIJINI DAR ES SALAAM
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA KIKAO NA SHIRIKI LA VIWANGO TANZANIA (TBS) JIJINI DAR ES SALAAM
Kamishna wa Usalama dhidi ya moto wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jesuald Ikonko, akimkabidhi kipeperushi chenye namba ya dharura 114 ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mkurugenzi wa Shirika la Viwango nchini (TBS), Prof. Egird Mubofu (kulia), wakati wa Kikao cha kujadili uingizwaji wa vifaa nchini vya kinga na tahadhali dhidi ya majanga ya moto, visivyo kidhi viwango kilichofanyika Makao Makuu ya Shirika hilo, mapema leo asubuhi, jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Usalama dhidi ya moto wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jesuald Ikonko, akielekea katika ukumbi wa Mikutano kwa mazungumzo, akiwa ameambatana na mwenyeji wake ambaye ni Afisa habari wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Bi. Neema Mtema (wapili kulia), pamoja na Maafisa wa Jeshi mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya Shirika hilo, wakati wa Kikao cha kujadili uingizwaji wa vifaa nchini vya kinga na tahadhali dhidi ya majanga ya moto, visivyo kidhi viwango kilichofanyika Makao Makuu ya Shirika hilo, mapema leo asubuhi, jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Usalama dhidi ya moto wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jesuald Ikonko, akimuelezea majukumu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mwenyekiti wa Kikao Kaimu Mkuu wa Kitengo cha uhakiki (HCERT), Eng. Agnes Kiweru ambaye hayupo pichani, wakati wa Kikao cha kujadili uingizwaji wa vifaa nchini vya kinga na tahadhali dhidi ya majanga ya moto, visivyo kidhi viwango kilichofanyika Makao Makuu ya Shirika hilo, mapema leo asubuhi, jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA KIKAO NA SHIRIKI LA VIWANGO TANZANIA (TBS) JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA KIKAO NA SHIRIKI LA VIWANGO TANZANIA (TBS) JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA KIKAO NA SHIRIKI LA VIWANGO TANZANIA (TBS) JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/jeshi-la-zimamoto-na-uokoaji-lafanya.html
0 Response to "JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAFANYA KIKAO NA SHIRIKI LA VIWANGO TANZANIA (TBS) JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment