title : Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja
kiungo : Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja
Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja
Wafanyakazi wa Benki ya NBC Tawi la Samora wakipozi kwa picha ya pamoja wakiwa katika umbo la moyo ikiwa ni ishara ya kuonyesha upendo na ukarimu kwa wateja wao kipindi hii benki yao ikiendelea kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja.
Mteja wa Benki ya NBC, Neema Xibona (kulia) akionyesha furaha mbele ya wafanyakazi wa benki hiyo Tawi la Samora, Dar es salaam ambapo sasa NBC inaendelea kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja. Wafanyakazi hao wanatumia muda wao kuwa karibu na wateja kusikiliza maoni yao kuhusu huduma na changamoto wazipatazo na kuzitafutia ufumbuzi.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Mbagala, Sady Mwang’onda (kulia), akizungumza na mmoja wa wateja, Elias Kaaya alipofika katika tawi lake kupata huduma.
Meneja wa NBC Tawi la Samora, Faustina Maeda, akimkaribisha Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, James Kinyanyi (kulia) alipotembelea katika tawi hilo kuangalia ubora wa huduma zinazotolewa kwa wateja na pia alipata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya wateja.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja
yaani makala yote Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/huduma-mbalimbali-zaboresha-nbc.html
0 Response to "Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja"
Post a Comment