title : HOSPITAL YA EBRAHIM HAJI, YAENDELEA KUTIBU WAGONJWA WA MACHO WALIOBAKIA KATIKA WIKI YA UPIMAJI AFYA MNAZI MMOJA.
kiungo : HOSPITAL YA EBRAHIM HAJI, YAENDELEA KUTIBU WAGONJWA WA MACHO WALIOBAKIA KATIKA WIKI YA UPIMAJI AFYA MNAZI MMOJA.
HOSPITAL YA EBRAHIM HAJI, YAENDELEA KUTIBU WAGONJWA WA MACHO WALIOBAKIA KATIKA WIKI YA UPIMAJI AFYA MNAZI MMOJA.
Mwambawahabari Mwambawahabari Kufuatia Kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda wiki zilizopita kuwasaidia wengi wa wananchi hususani wa Mkoa wa Dar es salaam katika zoezi la upimwaji wa Afya zao bure na zoezi ambalo lilichukua takribani wiki moja hadi kukamilika.
Baada ya juhudi hizo ndipo umoja wa Watoaji huduma toka hospital ya Ebrahim Haji iliyopo mtaa wa Asia na Mali posta jijini Dar es salaam, Walifurahishwa na ubunifu huo wa mkuu wa mkoa huyo jambo ambalo liliwapelekea kuamua kuanza kutoa huduma Bure kabisa ya Uchunguzi wa Macho pamoja na Upasuaji kwa wagonjwa wote waliogundulika kuwa na tatizo hilo la macho kipindi cha upimwaji wa afya bure huduma hiyo wameanza kuitoa leo ikiwa ni pamoja na matibabu yakiwemo ya upasuaji bure
Kuafuatia uongozi wa hospital hiyo kutoa huduma hiyo Mkuu wa mkoa Makonda akaamuwa kufunga safari na kwenda kuitembelea hospitali hiyo na kujionea ni jinsi gani wanavyotoa huduma hiyo kwa wananchi tena wakitoa huduma bure kabisa.
Makonda amesema amefarijika kuona wananchi wake wanaendelea kuhudumiwa ,ambapo mpaka sasa uparesheni zilizofanyika ni ishirini.
Amesema kila jumamosi watakuwa wakifanyiwa vipimo ambapo madaktari wa mkoa pamoja na madaktari wa hospitali hiyo wataendelea kufanya kazi hiyo ikiwa lengo ni kufikisha watu elfu mojawatakao patiwa huduma ya macho.
''Kama ni upasuaji wamesema wapo tayarikufanya oparesheni ya watu 1000 ilikumsaidia huyu mwananchi ambae angeshindwa kulipia gharama hizi kubwa aweze kupata hii huduma bure,Alisema Makonda.
Nae Rais wa Jamaat Amesema wameitikia wito wa serikali wapo bega kwa bega ambapo wamesema watahakikisha wananfanya kazi ya kuleta ahueni kwa wagonjwa wa Macho hapa Jijini Dar es salaam.
Hivyo makala HOSPITAL YA EBRAHIM HAJI, YAENDELEA KUTIBU WAGONJWA WA MACHO WALIOBAKIA KATIKA WIKI YA UPIMAJI AFYA MNAZI MMOJA.
yaani makala yote HOSPITAL YA EBRAHIM HAJI, YAENDELEA KUTIBU WAGONJWA WA MACHO WALIOBAKIA KATIKA WIKI YA UPIMAJI AFYA MNAZI MMOJA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HOSPITAL YA EBRAHIM HAJI, YAENDELEA KUTIBU WAGONJWA WA MACHO WALIOBAKIA KATIKA WIKI YA UPIMAJI AFYA MNAZI MMOJA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/hospital-ya-ebrahim-haji-yaendelea.html
0 Response to "HOSPITAL YA EBRAHIM HAJI, YAENDELEA KUTIBU WAGONJWA WA MACHO WALIOBAKIA KATIKA WIKI YA UPIMAJI AFYA MNAZI MMOJA."
Post a Comment