title : DKT MWANJELWA AISHAURI (IITA) KUONGEZA SPIDI UTOAJI ELIMU KWA WANANCHI KUKABILIANA NA SUMU KUVU
kiungo : DKT MWANJELWA AISHAURI (IITA) KUONGEZA SPIDI UTOAJI ELIMU KWA WANANCHI KUKABILIANA NA SUMU KUVU
DKT MWANJELWA AISHAURI (IITA) KUONGEZA SPIDI UTOAJI ELIMU KWA WANANCHI KUKABILIANA NA SUMU KUVU
Na Mathias Canal, Geita
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Mary Mwanjelwa ameishauri Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Kilimo ukanda wa Kitropiki (IITA) kuongeza kasi ya utoaji elimu kwa wakulima nchini kuhusu kadhia ya Sumu Kuvu.
Alisema kuwa elimu hiyo inatakiwa kutolewa katika maeneo mbalimbali nchini ili wananchi waweze kutambua namna bora katika uandaaji wa mashamba wakati wa msimu wa kilimo ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mashamba hayashambuliwi na magugu wala wadudu waharibifu.
Naibu Waziri ametoa ushauri huo wakati akizungumza na Msaidizi wa Mawasiliano wa Utafiti katika Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo ukanda wa Kitropiki (IITA) nchini Tanzania Bi Eveline Massam mara baada ya kutembelea Banda hilo wakati wa Maonesho ya 36 ya siku ya Chakula Duniani ambayo Kitaifa yanafanyika Katika Uwanja wa CCM Kalangalala Mjini Geita kuanzi Octoba 10 mpaka Octoba 16.
Dkt Mwanjelwa alisema kuwa wakulima wengi nchini wanalima pasina kufahamu taratibu za kilimo cha kisasa jambo ambalo linapelekea mazao yao kuathiriwa na wadudu husani Sumu Kuvu na kupelekea uduni wa mavuno.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Mary Mwanjelwa akisikiliza maelezo kuhusu namna ya kuikabili Sumu Kuvu kutoka kwa Msaidizi wa Mawasiliano wa Utafiti katika Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo ukanda wa Kitropiki (IITA) nchini Tanzania Bi Eveline Massam wakati alipotembelea Banda la Taasisi hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya chakula Duniani ambayo Kitaifa yanafanyika katika uwanja wa CCM Kalangalala Mkoani Geita.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Mary Mwanjelwa akipokea zawadi ya Boga kutoka kwa Afisa Kilimo wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe mara baada ya kutembelea Banda la Taasisi hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya chakula Duniani ambayo Kitaifa yanafanyika katika uwanja wa CCM Kalangalala Mkoani Geita.
Afisa habari na Uelimishaji Jamii kutoka Mamkaka ya Chakula na Dawa Bi Robert Feruzi (Kulia) akimuelezea Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Mary Mwanjelwa jinsi Mamlaka hiyo inavyofanya kazi wakati alipotembelea Banda la Taasisi hiyo kwenye maadhimisho ya siku ya chakula Duniani ambayo Kitaifa yanafanyika katika uwanja wa CCM Kalangalala Mkoani Geita.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Hivyo makala DKT MWANJELWA AISHAURI (IITA) KUONGEZA SPIDI UTOAJI ELIMU KWA WANANCHI KUKABILIANA NA SUMU KUVU
yaani makala yote DKT MWANJELWA AISHAURI (IITA) KUONGEZA SPIDI UTOAJI ELIMU KWA WANANCHI KUKABILIANA NA SUMU KUVU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT MWANJELWA AISHAURI (IITA) KUONGEZA SPIDI UTOAJI ELIMU KWA WANANCHI KUKABILIANA NA SUMU KUVU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/dkt-mwanjelwa-aishauri-iita-kuongeza.html
0 Response to "DKT MWANJELWA AISHAURI (IITA) KUONGEZA SPIDI UTOAJI ELIMU KWA WANANCHI KUKABILIANA NA SUMU KUVU"
Post a Comment