title : BULEMBO AANZA LEO ZIARA YA KIKAZI KATIKA MIKOA MITANO
kiungo : BULEMBO AANZA LEO ZIARA YA KIKAZI KATIKA MIKOA MITANO
BULEMBO AANZA LEO ZIARA YA KIKAZI KATIKA MIKOA MITANO
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM wilaya ya Kiteto baada ya kusaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM, Wilayani humo leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Manyara Pazo Mwamlima na Kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo, Injia Shekue Pashua
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM wilaya ya Kiteto baada ya kusaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM, Wilayani humo leo
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akiwasili kuzungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabaraza ya Jumuia za CCM na Mabalozi wa CCM wa kumi zilizo karibu na Makao Makuu ya Wilaya ya Kiteto, leo
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya, Mabaraza ya Jumuia za CCM na Mabalozi wa CCM wa kumi zilizo karibu na Makao Makuu ya Wilaya ya Kiteto wakimshangilia Bulembo alipowasili ukumbini kuzungumza nao leo.
Hivyo makala BULEMBO AANZA LEO ZIARA YA KIKAZI KATIKA MIKOA MITANO
yaani makala yote BULEMBO AANZA LEO ZIARA YA KIKAZI KATIKA MIKOA MITANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BULEMBO AANZA LEO ZIARA YA KIKAZI KATIKA MIKOA MITANO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/bulembo-aanza-leo-ziara-ya-kikazi.html
0 Response to "BULEMBO AANZA LEO ZIARA YA KIKAZI KATIKA MIKOA MITANO"
Post a Comment