Diamond atoa povu kwa wanaofuatilia mahusiano yake - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Diamond atoa povu kwa wanaofuatilia mahusiano yake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Diamond atoa povu kwa wanaofuatilia mahusiano yakekiungo :
Diamond atoa povu kwa wanaofuatilia mahusiano yake
Diamond atoa povu kwa wanaofuatilia mahusiano yake
Diamond Platnumz ameamua kutema cheche kutokana na watu kufuatilia mahusiano yake kwa ukaribu kila kukicha.
Kupitia mtandao wa Instagram, hit maker huyo wa ‘Hallelujah’ ameonekana kuumizwa na maneno yanayoendelea kuzungumzwa mitandaoni na kuamua kusema kuwa ikifika muda wa kuweka wazi atafanya hivyo kwani hakuna kitakacho mzuia.
Kupitia mtandao huo, Diamond ameandika:
Mara Diamond Kamla Huyu, mara sjui naskia anatembea na Huyu, Mara Ooh sjui inasemakana juzi alikuwa na Huyu…Yani kila Ukiamka limezuka jipya, Utazani yangu ina Sukari au Nakojoa dhahabu

…..Hebu Niacheni kidogo, niko Busy nahangaika kuipeleka Bongo fleva yetu Duniani…. Sijamkaza yoyote, na Sina Mahusiano na Yoyote anaetajwa, na Siku pia Nikimaliza Mahusiano yangu na Alie South na nikawa na Mwengine na ikifikia kuliweka wazi ntaliweka wazi Mwenyewe, Maana hakuna kitachonizuia… ndio kwanza nna miaka 28, Sijaoa na Hata nikioa Naruhusiwa niwe na wake Wanne PERIOD!!!…
Hivyo makala Diamond atoa povu kwa wanaofuatilia mahusiano yake
yaani makala yote Diamond atoa povu kwa wanaofuatilia mahusiano yake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Diamond atoa povu kwa wanaofuatilia mahusiano yake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/diamond-atoa-povu-kwa-wanaofuatilia.html
Related Posts :
MKUTANO MKUU WA 23 WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, WANAHISA WAMUOMBA DKT. KIMEI KUENDELEA KUBAKI
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akizungumza wakati akitoa taarifa ya Benki kwa Wanahisa wa Benki hiyo, katika Mkutano … Read More...
CRDB BANK WALIVYOSHIRIKI NA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONESHO YA WAJASIRIAMALI WA ILALA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
Ofisa Mikopo wa CRDB Bank, Josephat Shimo (kulia), akimpatia maelezo mgeni rasmi katika ufunguzi wa maonesho ya wajasiriamali wa Ilala, Mku… Read More...
Wanafunzi wa Skuli za Sekondari za Kisiwa Panza na Chokocho Pemba Washiriki Katika Zoezi la Upandaji wa Miti ya Kikoko Katika Eneo Lililoingia Maji ya Chuvi.
Wanafunzi waskuli ya Sekondari Chokocho Pemba, wakipanda miti katika
eneo lilimegwa na maji Chumvi kufuatia kuharibiwa kwa mazingira … Read More...
China Yaipatia Tanzania Msaada wa Bilioni 146, Kujenga Chuo Kikuu Cha Taifa Cha UsafirishajiNa Bennia Mwaipaja, WFM-Dar es Salaam
Serikali ya Tanzania imetiliana saini na Serikali ya China mkataba wa msaada wa kiasi cha Shilin… Read More...
Matukio ya Picha Kisiwani Pemba Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemeid Suleiman Atembelea Soko la Chakechake leo.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman Abdalla, katikati mwenye koti akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Mhe.Rashid Khalid Rash… Read More...
0 Response to "Diamond atoa povu kwa wanaofuatilia mahusiano yake"
Post a Comment