title : DIAMOND AGAWA VIFAA TIBA NA ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPITALI YA AMANA
kiungo : DIAMOND AGAWA VIFAA TIBA NA ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPITALI YA AMANA
DIAMOND AGAWA VIFAA TIBA NA ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPITALI YA AMANA
Meneja wa Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva , Naseeb Abdul (Diamond), Said Fellaakizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kufika katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam kutoa msaada wa Vifaa tiba.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva , Naseeb Abdul (Diamond) akiwa ameongozana na Mtangazaji wa kipindi cha leo Tena Dahuu kwenda kutoa msaada katika hospitali ya Amana Jijini Dar es Salaam
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva , Naseeb Abdul (Diamond), akisalimiana na Mmoja ya wamama aliyopo na mtoto wake katika wodi ya watoto ya Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva , Naseeb Abdul (Diamond) akiwa katika maeneo ya Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva , Naseeb Abdul (Diamond) akiwa na Mtangazaji wa kipindi cha leo tena cha Clouds Fm Dahuu wakati alipowasili katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam
Hivyo makala DIAMOND AGAWA VIFAA TIBA NA ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPITALI YA AMANA
yaani makala yote DIAMOND AGAWA VIFAA TIBA NA ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPITALI YA AMANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DIAMOND AGAWA VIFAA TIBA NA ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPITALI YA AMANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/diamond-agawa-vifaa-tiba-na-zawadi-kwa.html
0 Response to "DIAMOND AGAWA VIFAA TIBA NA ZAWADI KWA WAGONJWA HOSPITALI YA AMANA"
Post a Comment