title : WOLPER AMPONDA EX WAKE ADAI NI MUIMBA TAARAB
kiungo : WOLPER AMPONDA EX WAKE ADAI NI MUIMBA TAARAB
WOLPER AMPONDA EX WAKE ADAI NI MUIMBA TAARAB
Wolper Akiwa Na Mpenzi Wake Wa Sasa
POVU alilolitoa Diva anayetikisa kiwanda cha Bongo Muvi, Jacqueline Wolper kwa X- wake, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ni povu ‘hevi’, kiasi kwamba hata kama ni nguo chafu kiasi gani lazima zitatakata kwani amemuita ni muimba Taarab.
Kwa mujibu wa mashabiki, hasira za mkizi zilimkamata Wolper baada ya X- wake huyo kuwa anamfuatilia mara kwa mara kwenye 18 zake, kiasi cha kumsababishia mpenzi wake wa sasa anayejulikana kwa jina la Brown, kupaniki na kuhisi labda huenda, wawili hao bado wana uhusiano wa siri.
Posti Ya Wolper Kwenye Ukurasa Wake Wa Instagram
Baada ya posti hiyo ya Wolper, mashabiki wakashusha komenti kibao. Wengine walimpongeza kwa kutoa kichambo hicho, wapo waliomkosoa na kumwambia kwa nini hizo siri hakuzisema kipindi walipokuwa pamoja, na wengine waliishia kusema kwamba mapenzi ya mastaa wa Kibongo ni ‘kizunguzungu’.
Hivyo makala WOLPER AMPONDA EX WAKE ADAI NI MUIMBA TAARAB
yaani makala yote WOLPER AMPONDA EX WAKE ADAI NI MUIMBA TAARAB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WOLPER AMPONDA EX WAKE ADAI NI MUIMBA TAARAB mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/wolper-amponda-ex-wake-adai-ni-muimba.html
0 Response to "WOLPER AMPONDA EX WAKE ADAI NI MUIMBA TAARAB"
Post a Comment