YANGA YAWAFUATA SINGIDA, NI VITA YA LWANDAMINA NA PLUIJM

YANGA YAWAFUATA SINGIDA, NI VITA YA LWANDAMINA NA PLUIJM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA YAWAFUATA SINGIDA, NI VITA YA LWANDAMINA NA PLUIJM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA YAWAFUATA SINGIDA, NI VITA YA LWANDAMINA NA PLUIJM
kiungo : YANGA YAWAFUATA SINGIDA, NI VITA YA LWANDAMINA NA PLUIJM

soma pia


YANGA YAWAFUATA SINGIDA, NI VITA YA LWANDAMINA NA PLUIJM

KIKOSI cha Yanga kimeondoka leo kuelekea Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Singida United Jumamosi Uwanja wa Namfua.

Yanga imeondoka bila kuwa na Lwachezaji wake wanne tegemeo ambao ni beki Juma Abdul, kiungo Thabani Kamusoko, washambuliaji Mzimbabwe mwenzake, Donald Ngoma na Mrundi, Amissi Tambwe.Kikosi hicho kinachonolewa na Mzambia George Lwandamina kitavaana na Singida wanaonolewa na aliyewahi kuwa kocha mkuu wa timu hiyo Hans Van De Pluijm.

Yanga inakwenda kwenye mchezo huo, ikitoka kutoa sare na wapinzani wa jadi, Simba kwa kufungana 1-1 Jumamosi iliyopita Uwanja wa Uhuru.Sare hiyo imefanya timu hizo ziendelee kufungana kwa pointi 16 kileleni mwa Ligi Kuu, 16 kila moja sawa na Azam FC na Mtibwa Sugar. 

Mbali na Juma Abdul anayetumikia adhabu ya kadi tatu za njano, Ngoma, Tambwe na Kamosoku wao wanaendelea na matibabu chini ya uangalizi.Ligi Kuu itaendelea Ijumaa, Maji Maji FC wakiikaribisha Stand United Uwanja wa Maji Maji mjini Songea, wakati Jumamosi Singida watakuwa wenyeji wa Yanga Uwanja wa Namfua, Singida na Ndanda FC wataikaribisha Mtibwa Sugar Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara. 

Mechi nyingine za Jumamosi, Kagera Sugar wataikaribisha Tanzania Prisons Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, Njombe Mji FC wataikaribisha Mbao FC Uwanja wa Saba Saba na Azam FC watakuwa wenyeji wa Ruvu Shooting Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. 

Jumapili kutakuwa na mechi mbili, mbali na Mbeya City kuwa wenyeji wa Simba, Lipuli FC nao wataikaribisha Mwadui FC Uwanja wa Samora mjini Iringa.


Hivyo makala YANGA YAWAFUATA SINGIDA, NI VITA YA LWANDAMINA NA PLUIJM

yaani makala yote YANGA YAWAFUATA SINGIDA, NI VITA YA LWANDAMINA NA PLUIJM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YAWAFUATA SINGIDA, NI VITA YA LWANDAMINA NA PLUIJM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/yanga-yawafuata-singida-ni-vita-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YANGA YAWAFUATA SINGIDA, NI VITA YA LWANDAMINA NA PLUIJM"

Post a Comment