WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA WAOMBWA KUJA KUWEKEZA HAPA NCHINI.

WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA WAOMBWA KUJA KUWEKEZA HAPA NCHINI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA WAOMBWA KUJA KUWEKEZA HAPA NCHINI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA WAOMBWA KUJA KUWEKEZA HAPA NCHINI.
kiungo : WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA WAOMBWA KUJA KUWEKEZA HAPA NCHINI.

soma pia


WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA WAOMBWA KUJA KUWEKEZA HAPA NCHINI.

 WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles John Mwijage ameaomba wawekezaji wa viwanda wa nchini India waje hapa nchini kuwekeza kwenye sekta za viwanda. 

Hayo ameyasema leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Pia amewaomba wakulima wa kilimo cha mbaazi za aina mbalimbali walime kwa wingi ili kuendana na soko la nchini India ambapo nchini Kwao zao hilo ni lulu kwao.

Pia amewaomba wataalum wa Kompyuta kutoka nchini India kuja hapa nchini ili kubadilishana uzoefu na watanzania hapa nchini.
 
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles John Mwijage akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo akiwaaomba wafanyabiashara na wakulima wa mbaazi hapa nchini kuzilima kwa wingi ili kuliteka soko la nchini India. Pia amewaomba wawekezaji wa nchini india waje wawekeze hapa nchini ili kukuza ushirikiano wa kibiashara kati ya India na wafanyabiashara hapa nchini.
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles John Mwijageakizungumza jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kutoka nchini china.
 Amewasihi wawekezaji hapa nchini wawekeze katika viwanda vya kubangua korosho ili kurahisisha ubanguaji wa korosho hapa nchini ili kutimiza ndoto ya Tanzania ya Viwanda hapa nchini.


Hivyo makala WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA WAOMBWA KUJA KUWEKEZA HAPA NCHINI.

yaani makala yote WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA WAOMBWA KUJA KUWEKEZA HAPA NCHINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA WAOMBWA KUJA KUWEKEZA HAPA NCHINI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/wawekezaji-kutoka-india-waombwa-kuja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA WAOMBWA KUJA KUWEKEZA HAPA NCHINI."

Post a Comment