ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA JACKSON MAYANJA AJIUZULU MWENYEWE

ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA JACKSON MAYANJA AJIUZULU MWENYEWE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA JACKSON MAYANJA AJIUZULU MWENYEWE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA JACKSON MAYANJA AJIUZULU MWENYEWE
kiungo : ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA JACKSON MAYANJA AJIUZULU MWENYEWE

soma pia


ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA JACKSON MAYANJA AJIUZULU MWENYEWE

Aliyekuwa kocha msaidizi wa Simba  raia wa Uganda Jackson Mayanja ni kwamba ameamua kuachia ngazi kutokana na matatizo yake binafsi.

Mayanja ambaye bado yuko jijini Dar es Salaam, ameamua kuachana na Simba akidai ana matatizo binafsi na kutapelekea kushindw akutimiza majukumu yake kama kocha msaidizi wa timu hiyo.

Ametanabaisha kuwa matatizo hayo ni ya kifamilia na hataweza kukuyaweja wazi, “Ni matatizo ya kifamilia lakini suala hilo siwezi kulizungumzia kwa sasa,” alisema.

Lakini habari kutoka Simba zimeeleza kuwa sasa wako katika hatua za mwisho kuvunja mkataba wake huku kukiwa na sintofahamu kwa siku za hivi karibuni ndani ya klabu ya Simba ikielezwa kwamba kuna matatizo ya kifedha na ucheleweshwaji wa malipo ya mishahara kwa benchi la ufundi na wachezaji kiujumla.

Taarifa hizo ambazo hazijathibitishwa na uongozi wa Simba haujathibisha taarifa hizo zinazosambazwa kwa sasa kuwa hawajawalipa wachezaji wao mishahara ya miezi mitatu.

x


Hivyo makala ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA JACKSON MAYANJA AJIUZULU MWENYEWE

yaani makala yote ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA JACKSON MAYANJA AJIUZULU MWENYEWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA JACKSON MAYANJA AJIUZULU MWENYEWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/aliyekuwa-kocha-wa-simba-jackson.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA JACKSON MAYANJA AJIUZULU MWENYEWE"

Post a Comment