Wataoanza kampeni mapema katika uchaguzi wa Jumuiya wazazi wajiandae kukatwa majina- Bulembo.

Wataoanza kampeni mapema katika uchaguzi wa Jumuiya wazazi wajiandae kukatwa majina- Bulembo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wataoanza kampeni mapema katika uchaguzi wa Jumuiya wazazi wajiandae kukatwa majina- Bulembo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wataoanza kampeni mapema katika uchaguzi wa Jumuiya wazazi wajiandae kukatwa majina- Bulembo.
kiungo : Wataoanza kampeni mapema katika uchaguzi wa Jumuiya wazazi wajiandae kukatwa majina- Bulembo.

soma pia


Wataoanza kampeni mapema katika uchaguzi wa Jumuiya wazazi wajiandae kukatwa majina- Bulembo.

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
JUMUIYA ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema wagombea ambao wataanza kampeni kabla ya muda wajiandae kukatwa majina yao.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Abdallah Bulembo amesma kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaendeshwa na kanuni hivyo waombea wasipofuata kanunni hizo lazima wawe na roho ngumu pindi wanapokatwa majina yao.

Amesema makatibu wa Wilaya na Mikoa katika maeneo yao ikibainika kuwepo kwa rushwa katika uchaguzi wa jumuiya hizo ajira zao ziko mashakani kuweza kuondolewa katika nafasi na kuwapa watu wenye weledi.
Bulembo amesema katika uchaguzi huo kwa ngazi ya taifa hagombei na kazi yake itakuwa kuwachuja wagombea 49 waliogombea nafasi ya wenyekiti taifa.

Amesema katika uongozi wake aliikuta akaunti ya jumuiya hiyo ikiwa na sifuri lakini sasa akaunti hiyo ina fedha  ambayo ataikabidhi baada ya uchaguzi huo kufanyika.

Mwenyekiti huyo amesema katika uongozi wake amepima viwanja 56000 vya jumuiya ya wazazi , uimarishaji wa shule ambazo zilikuwa zinaendeeshwa kama mali binafsi.

Bulembo amesema kuwa katika mazoea ya uongzozi wake ni kutumikia kipindi kimoja ili aweze kukumbukwa na watu waliomchagua.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) , Abdallah  Bulembo (katikati) akizungumza na waandishi habari juu ya uchaguzi wa jumuiya ya wazazi leo katika makao makuu ya jumuiya hiyo leo jijini Dar es Salaam.kushoto ni Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Seif Shaaban Mohamed Bara na kulia ni Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Bara, Barhan Abdul Ruta.


Hivyo makala Wataoanza kampeni mapema katika uchaguzi wa Jumuiya wazazi wajiandae kukatwa majina- Bulembo.

yaani makala yote Wataoanza kampeni mapema katika uchaguzi wa Jumuiya wazazi wajiandae kukatwa majina- Bulembo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wataoanza kampeni mapema katika uchaguzi wa Jumuiya wazazi wajiandae kukatwa majina- Bulembo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/wataoanza-kampeni-mapema-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wataoanza kampeni mapema katika uchaguzi wa Jumuiya wazazi wajiandae kukatwa majina- Bulembo."

Post a Comment