title : Wajumbe wa Kamati Wakiendelea na Mkutano Wao Jijini Dar es Salaam.
kiungo : Wajumbe wa Kamati Wakiendelea na Mkutano Wao Jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati Wakiendelea na Mkutano Wao Jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa kamati Maalum iliyoundwa na Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiendelea na majadiliano na timu kutoka kampuni ya Barrick Gold Corporation leo Septemba 7, 2017 kuhusu madai ya Tanzania juu ya upotevu wa fedha nyingi katika biashara ya madini ya dhahabu inayofanywa na kampuni hiyo hapa nchini. Majadiliano hayo yanafanyika jijini Dar es salaam
Hivyo makala Wajumbe wa Kamati Wakiendelea na Mkutano Wao Jijini Dar es Salaam.
yaani makala yote Wajumbe wa Kamati Wakiendelea na Mkutano Wao Jijini Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wajumbe wa Kamati Wakiendelea na Mkutano Wao Jijini Dar es Salaam. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/wajumbe-wa-kamati-wakiendelea-na.html
0 Response to "Wajumbe wa Kamati Wakiendelea na Mkutano Wao Jijini Dar es Salaam."
Post a Comment