title : Uhamiaji Yapata Msaada wa Vitendea kazi Toka Shirika la IMO
kiungo : Uhamiaji Yapata Msaada wa Vitendea kazi Toka Shirika la IMO
Uhamiaji Yapata Msaada wa Vitendea kazi Toka Shirika la IMO
Mwambawahabari
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Peter Makakala akipokea msaada wa vifaa mbalimbali uliotolewa na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM. Anayekabidhi vifaa hivyo ni, Mwakilishi wa Shirika hilo nchini Tanzania Dkt. Qassim Sufi. Vifaa hivyo vinajumuisha Kompyuta, mashine za kutolea nakala na kuchapishia vyenye thamani ya Dola za Kimarekani elfu arobaini.
Tukio hilo ambalo lilishuhudiwa na wana habari Limefanyika katika Ukumbi wa Mikutano Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini, Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Peter Makakala akibadilishana nyaraka za makabidhiano ya msaada wa vifaa mbalimbali uliotolewa na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM. Anayebadilishana naye ni Mwakilishi wa Shirika hilo nchini Tanzania Dkt. Qassim Sufi. Vifaa hivyo vinajumuisha Kompyuta, mashine za kutolea nakala na kuchapishia vyenye thamani ya Dola za Kimarekani elfu arobaini. Tukio hilo ambalo lilishuhudiwa na wanahabari Limefanyika katika Ukumbi wa Mikutano Makao Makuu yaUhamiaji, Kurasini, Dar es Salaam.
Hivyo makala Uhamiaji Yapata Msaada wa Vitendea kazi Toka Shirika la IMO
yaani makala yote Uhamiaji Yapata Msaada wa Vitendea kazi Toka Shirika la IMO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uhamiaji Yapata Msaada wa Vitendea kazi Toka Shirika la IMO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/uhamiaji-yapata-msaada-wa-vitendea-kazi.html
0 Response to "Uhamiaji Yapata Msaada wa Vitendea kazi Toka Shirika la IMO"
Post a Comment