TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA

TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA
kiungo : TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA

soma pia


TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA


Ben Pol  na Maua Sama wakipagawisha  wakazi wa jiji la Mwanza katika Tamasha  la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumapili katika viwanja vya CCM Kirumba.

Ommy Dimpoz akiburudisha wakazi wa jiji la Mwanza katika vviwanja via Tigo Fiesta mapema jana katika vviwanja vya CCM kirumba usiku wa kuamkia jumapili.

Alikba na Ommy dimpoz wakilishambulia jukwaa la Tigo fiesta mapema usiku wa jana katika vviwanja vya CCM kirumba 

GNAKO na JUX wakiwaburudisha maelfu ya wakazi wa Mwanza katika Tamasha la Tigo Fiesta.

Lulu DIVA akiwa na wacheza shoo wake wakitoa burudani ya kukata na shoka.

NanDy akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta mapema jana katika viwanja via CCM kirumba.

Maua Sama naye akilishambulia jukwaa la Tigo fiesta


Msanii wa bongo fleva Rayvanny akiwapa burudani wapenzi wa muziki kwenye tamasha la Tigo Fiesta katika uwanja wa CCM kirumba jijini Mwanza usiku wa kuamkia Jumapili.



Rosa Ree akipagawawisha maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza.


Hivyo makala TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA

yaani makala yote TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/tamasha-la-tigo-fiesta-latikisa-jiji-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA"

Post a Comment