SERIKALI: KASI YA MENDELEO YA TEKINOLOJIA INATULAZIMU KUFANYA MABORESHO YA MARA KWA MARA YA KANUNI ZETU

SERIKALI: KASI YA MENDELEO YA TEKINOLOJIA INATULAZIMU KUFANYA MABORESHO YA MARA KWA MARA YA KANUNI ZETU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI: KASI YA MENDELEO YA TEKINOLOJIA INATULAZIMU KUFANYA MABORESHO YA MARA KWA MARA YA KANUNI ZETU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI: KASI YA MENDELEO YA TEKINOLOJIA INATULAZIMU KUFANYA MABORESHO YA MARA KWA MARA YA KANUNI ZETU
kiungo : SERIKALI: KASI YA MENDELEO YA TEKINOLOJIA INATULAZIMU KUFANYA MABORESHO YA MARA KWA MARA YA KANUNI ZETU

soma pia


SERIKALI: KASI YA MENDELEO YA TEKINOLOJIA INATULAZIMU KUFANYA MABORESHO YA MARA KWA MARA YA KANUNI ZETU

Na Pascal Dotto, MAELEZO

Serikali imesema kasi kubwa ya maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano ambayo imeikumba sekta ya habari inalazimu jamii kufanya maboresho ya mara kwa mara ya Sera na Kanuni ili kuepusha matumizi mabaya ya vyombo vya habari.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel amesema kuwa katika kufanya hivyo ni wajibu wa wadau wote kushirikiana kutumia vyema maendeleo hayo ya tekinolojia kwa ajili ya ustawi wa jamii na maendeleo ya taifa.

Profesa Elisante alisema hayo leo wakati akifungua mkutano wa siku moja wa mashauriano miongoni mwa wadau wa sekta ya habari kuhusu mapendekezo ya Kanuni za maudhui yanayorushwa na vituo vya Utangazaji vya Redio na Televisheni na Kanuni za Maudhui Mtandaoni.

“Ni wajibu wetu kama taifa linalosimamia maadili na ambalo lingependa kudumisha amani na mshikamano, kutunga kanuni ambazo zitahakikisha kuwa kunakuwa na matumizi mazuri, sahihi na salama ya maudhui ya mtandaoni”Profesa Elisante alisisitiza.

Aliwaambia washiriki wa mkutano huo kuwa kuweka kanuni ni suala muhimu na kuwakumbusha matumizi ya mfumo wa habari mtandaoni wakati mwingine umetumika kupotosha jamii, kujenga chuki, kutoa habari za faragha za watu binafsi au habari zilizoleta sintofahamu miongoni mwa jamii.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo wakati wa kikao cha wadau wa sekta habari ili kujadili kanuni za maudhui ya utangazaji katika redio na tevelisheni, na kanuni za maudhui mtandaoni kilichofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akifafanua jambo wakati wa kikao cha wadau wa sekta habari ili kujadili kanuni za maudhui ya utangazaji katika redio na tevelisheni, na kanuni za maudhui mtandaoni leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka TCRA, Fred Ntobi, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi James Kilaba, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Rodney Thadeus.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Rodney Thadeus akielezea jambo wakati wa kikao cha wadau wa sekta ya habari ili kujadili kanuni za maudhui ya utangazaji katika redio na tevelisheni, na kanuni za maudhui mtandaoni leo Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya Maudhui kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka akiwasilisha mada kuhusu kanuni za maudhui ya utangazaji katika redio na tevelisheni, na kanuni za maudhui mtandaoni wakati wa kikao cha wadau wa sekta ya habari ili kujadili kanuni hizo leo Jijini Dar es Salaam.



Hivyo makala SERIKALI: KASI YA MENDELEO YA TEKINOLOJIA INATULAZIMU KUFANYA MABORESHO YA MARA KWA MARA YA KANUNI ZETU

yaani makala yote SERIKALI: KASI YA MENDELEO YA TEKINOLOJIA INATULAZIMU KUFANYA MABORESHO YA MARA KWA MARA YA KANUNI ZETU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI: KASI YA MENDELEO YA TEKINOLOJIA INATULAZIMU KUFANYA MABORESHO YA MARA KWA MARA YA KANUNI ZETU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/serikali-kasi-ya-mendeleo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERIKALI: KASI YA MENDELEO YA TEKINOLOJIA INATULAZIMU KUFANYA MABORESHO YA MARA KWA MARA YA KANUNI ZETU"

Post a Comment