TUMEANZA KUIONJA SHUBIRI YA VITA YA UCHUMI.

TUMEANZA KUIONJA SHUBIRI YA VITA YA UCHUMI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUMEANZA KUIONJA SHUBIRI YA VITA YA UCHUMI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUMEANZA KUIONJA SHUBIRI YA VITA YA UCHUMI.
kiungo : TUMEANZA KUIONJA SHUBIRI YA VITA YA UCHUMI.

soma pia


TUMEANZA KUIONJA SHUBIRI YA VITA YA UCHUMI.


Na Bashir Yakub. 

Tumegusa uchumi wa bepari. Mara zote, na kote duniani bepari alipoguswa kwenye uchumi wake basi ametumia mbinu hizi hapa chini kuhakikisha anapambana na waliomzuia.

[a] Kumwita kiongozi anayeongoza vita ya uchumi Mvunjaji wa haki za binadamu na asiyefaa. Imetokea kwa Gaddafi baada ya kumnyima bepari mafuta, halikadhalika kwa Saddam Hussein.Pia ndilo tatizo la Mugabe na bepari baada ya kurudisha mashamba kwa wazawa ili wafaidi uchumi wao.

[b] Kuratibu na kufanikisha matukio ya ajabu kwenye jamii ili kuleta faraka,taharuki, chuki, uadui, na sintofahamu.Bepari analiweza sana hili hasa nchi za Afrika kutokana na uwezo wake mkubwa wa fedha na teknolojia.

Lengo la mbinu hii ni :
Mosi,kuwatoa kwenye ajenda ya vita dhidi yake na kuwaelekeza kwenye mijadala mingine.
Pili, kuchonganisha watu, serikali na viongozi wao.
Tatu, kupeleka ujumbe duniani kuwa kiongozi fulani na serikali yake hawafai tena.
Nne, kuligawa taifa kati ya upande unaoamini matukio kutekelezwa na fulani na upande unaoamini vingine.



Hivyo makala TUMEANZA KUIONJA SHUBIRI YA VITA YA UCHUMI.

yaani makala yote TUMEANZA KUIONJA SHUBIRI YA VITA YA UCHUMI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUMEANZA KUIONJA SHUBIRI YA VITA YA UCHUMI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/tumeanza-kuionja-shubiri-ya-vita-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TUMEANZA KUIONJA SHUBIRI YA VITA YA UCHUMI."

Post a Comment