Balozi wa Tanzania nchini Rwanda azindua rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini humo

Balozi wa Tanzania nchini Rwanda azindua rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini humo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda azindua rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini humo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi wa Tanzania nchini Rwanda azindua rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini humo
kiungo : Balozi wa Tanzania nchini Rwanda azindua rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini humo

soma pia


Balozi wa Tanzania nchini Rwanda azindua rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini humo

 Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ali Idi Siwa (wa tatu kushoto), Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jimmy Yonaz (wa pili kushoto) pamoja na vingozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja huku wakiwa wameshika magazeti ya HABARI LEO wakati wa uzinduzi rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini Rwanda. Uzinduzi huo umefanyika sambamba na Kongamano la Kiswahili lililodhaminiwa na TSN. Kongamano hilo lilihudhuriwa na washiriki zaidi ya 200.
Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ali Idi Siwa akizungumza katika hafla hiyo ya uzinduzi rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini Rwanda. Uzinduzi huo umefanyika sambamba na Kongamano la Kiswahili lililodhaminiwa na TSN. Kongamano hilo lilihudhuriwa na washiriki zaidi ya 200.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jimmy Yonaz akizungumza.
Baadhi ya washiriki.


Hivyo makala Balozi wa Tanzania nchini Rwanda azindua rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini humo

yaani makala yote Balozi wa Tanzania nchini Rwanda azindua rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini humo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi wa Tanzania nchini Rwanda azindua rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini humo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/balozi-wa-tanzania-nchini-rwanda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi wa Tanzania nchini Rwanda azindua rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini humo"

Post a Comment