Mwili wa mpendwa wetu marehemu Sister Jean Pruitt kuagwa siku ya Jumatano tarehe 20/09/2017 Karimjee hall Dar es salaam

Mwili wa mpendwa wetu marehemu Sister Jean Pruitt kuagwa siku ya Jumatano tarehe 20/09/2017 Karimjee hall Dar es salaam - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwili wa mpendwa wetu marehemu Sister Jean Pruitt kuagwa siku ya Jumatano tarehe 20/09/2017 Karimjee hall Dar es salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwili wa mpendwa wetu marehemu Sister Jean Pruitt kuagwa siku ya Jumatano tarehe 20/09/2017 Karimjee hall Dar es salaam
kiungo : Mwili wa mpendwa wetu marehemu Sister Jean Pruitt kuagwa siku ya Jumatano tarehe 20/09/2017 Karimjee hall Dar es salaam

soma pia


Mwili wa mpendwa wetu marehemu Sister Jean Pruitt kuagwa siku ya Jumatano tarehe 20/09/2017 Karimjee hall Dar es salaam

Ndugu, jamaa, marafiki na wadau wa sanaa na haki za watoto Tanzania.

Kamati ya Maandalizi ya Msiba inapenda kutoa Tangazo rasmi la shughuli ya kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mpendwa wetu marehemu Sister Jean Pruitt itakayofanyika siku ya Jumatano tarehe 20/09/2017.


Shughuli hii itafanyika katika Ukumbi wa Karimjee uliopo Posta, Mtaa wa Sokoine, mkabala jijini Dar es salaam. Wadau wote tunaombwa kuwasili mapema kwa ajili ya kutoa

heshima zetu za mwisho na kuaga mwili saa 3:30 asubuhi siku hiyo.


Baada ya hapo Mwili utasindikizwa kwenda kanisa la Mt. Joseph kwa ajili ya misa itakayoanza saa 9 Alasiri siku hiyo ya Jumatano.


Tunawaomba tuzidi kumwombea mama yetu Sista Jean Pruitt apumzike kwa Amani. Raha ya milele umpe eh Bwana na mwanga wa milele umwangazie,
apumzike kwa Amani - Amina

Kamati ya Maandalizi ya Msiba




Hivyo makala Mwili wa mpendwa wetu marehemu Sister Jean Pruitt kuagwa siku ya Jumatano tarehe 20/09/2017 Karimjee hall Dar es salaam

yaani makala yote Mwili wa mpendwa wetu marehemu Sister Jean Pruitt kuagwa siku ya Jumatano tarehe 20/09/2017 Karimjee hall Dar es salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwili wa mpendwa wetu marehemu Sister Jean Pruitt kuagwa siku ya Jumatano tarehe 20/09/2017 Karimjee hall Dar es salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mwili-wa-mpendwa-wetu-marehemu-sister_16.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mwili wa mpendwa wetu marehemu Sister Jean Pruitt kuagwa siku ya Jumatano tarehe 20/09/2017 Karimjee hall Dar es salaam"

Post a Comment