title : MBIO ZA MBUZI ZILIVYOFANA JIJINI DAR LEO
kiungo : MBIO ZA MBUZI ZILIVYOFANA JIJINI DAR LEO
MBIO ZA MBUZI ZILIVYOFANA JIJINI DAR LEO
Mbuzi wakipigana vibega wakati wakitimua mbio kutafuta mshindi wa shindano lililopewa jina la 'The Southen Sun Fillies Frolic' lililodhaminiwa na Hoteli ya Southen Sun, wakati wa mashindano ya mbio hizo za mbuzi kwa mwaka 2017, yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Farasi, jijini Dar es Salaam leo na kihudhuliwa na wadau mbalimbali. Mashindano haya ya mbio za mbuzi huadhimishwa kila mwaka hapa nchini ikiwa ni sehemu ya kuchangisha fedha za kusaidia jamii mbalimbali zenye uhitaji.
Mbuzi wakiendelea kutimua vumbi katika mchuano mkali.
Mmoja wa Mbuzi akiwa kabebwa baada ya kushindwa mbio hizo na kugoma kutembea.
Mbuzi Bingwa wa 'The Southen Sun Fillies Frolic' akipongezwa na wadau.
Shangwe tupu baada ya kuibuka kidedea.
Hivyo makala MBIO ZA MBUZI ZILIVYOFANA JIJINI DAR LEO
yaani makala yote MBIO ZA MBUZI ZILIVYOFANA JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBIO ZA MBUZI ZILIVYOFANA JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/mbio-za-mbuzi-zilivyofana-jijini-dar-leo.html
0 Response to "MBIO ZA MBUZI ZILIVYOFANA JIJINI DAR LEO"
Post a Comment