MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE

MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE
kiungo : MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE

soma pia


MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE

Mwambawahabari

PMO_7873
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Ireland Nchini, Mhe. Paul Sherlock  (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. David Omozuafoh (kulia) baada ya kuzindua  Awamu ya Pili  ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017
PMO_7848
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Spika wa Bunge, Job Ndugai  (kulia)     baada ya kuzindua  Awamu ya Pili  ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017. Kushoto ni Balozi wa Ireland Nchini, Mhe. Paul Sherlock
PMO_7796
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizindua Awamu ya Pili  ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017. Kulia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai.
PMO_7784
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Awamu ya Pili  ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017.Kushoto ni Spika wa Bunge, Job Ndugai.
PMO_7754
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akitoa maelezo kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Kuzindua Awamu ya Pili  ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017.
PMO_7838
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia kwake ) wakiwa katika picha ya pamoja na  viongozi walioshiriki katika Awamu ya Pili  ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu



Hivyo makala MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE

yaani makala yote MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/majaliwa-azindua-awamu-ya-pili-ya-mradi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE"

Post a Comment