Kituo Kipya Cha Kimarekani Chazinduliwa Maktaba Kuu ya Taifa Jijini Dar es Salaam. - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kituo Kipya Cha Kimarekani Chazinduliwa Maktaba Kuu ya Taifa Jijini Dar es Salaam., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Kituo Kipya Cha Kimarekani Chazinduliwa Maktaba Kuu ya Taifa Jijini Dar es Salaam.kiungo :
Kituo Kipya Cha Kimarekani Chazinduliwa Maktaba Kuu ya Taifa Jijini Dar es Salaam.
Kituo Kipya Cha Kimarekani Chazinduliwa Maktaba Kuu ya Taifa Jijini Dar es Salaam.
 |
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dk. Inmi Patterson na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella Manyanya, wakikata utepe katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo Kipya cha Kimarekani kilichoanzishwa kwa ubia na Maktaba Kuu jijini Dar es Salaam Ijumaa hii. Hafla hii ilihudhuriwa pia na Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba nchini, Dk. Alli Mcharazo. |
 |
Muonekano kituo Kituo Kipya cha Kimarekani kilichoanzishwa kwa ubia na Maktaba Kuu jijini Dar es Salaam Ijumaa hii |
 |
Muonekano kituo Kituo Kipya cha Kimarekani kilichoanzishwa kwa ubia na Maktaba Kuu jijini Dar es Salaam Ijumaa hii |
 |
Naibu waziri wa Elimu na Sayansi na Teknolojia, Mhandisi Stella Manyanya akihutuba katika uzinduzi wa kituo cha Kimarekani kilichoanzishwa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania pamoja na serikali ya Tanzania. |
 |
kikundi cha Ngoma kikisherehesha wakati wa uzinduzi wa kituo hicho mapema jana. |
 |
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo Kipya cha Kimarekani wakifuatilia kwa karibu hotuba zilitotolewa na wazungumzaji wakuu wa sherehe hizo jijini Dar es Salaam Ijumaa hii. Kituo hicho cha Kimarekani kimeanzishwa kwa ubia na Maktaba Kuu Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Injia Stella Manyanya ndiye alikuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo uliohudhuriwa na Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson na Mkurugenzi Mkuu wa Huduma za Maktaba nchini, Dk. Alli Mcharazo. |
Hivyo makala Kituo Kipya Cha Kimarekani Chazinduliwa Maktaba Kuu ya Taifa Jijini Dar es Salaam.
yaani makala yote Kituo Kipya Cha Kimarekani Chazinduliwa Maktaba Kuu ya Taifa Jijini Dar es Salaam. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kituo Kipya Cha Kimarekani Chazinduliwa Maktaba Kuu ya Taifa Jijini Dar es Salaam. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/kituo-kipya-cha-kimarekani-chazinduliwa.html
0 Response to "Kituo Kipya Cha Kimarekani Chazinduliwa Maktaba Kuu ya Taifa Jijini Dar es Salaam."
Post a Comment