title : Kinachoendelea baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi
kiungo : Kinachoendelea baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi
Kinachoendelea baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu amekimbizwa hospitali mchana huu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana leo mchaa akiwa nyumbani kwake Mkoani Dodoma.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema kuwa Mh. Lissu amepigwa risasi zaidi ya mbili alipokuwa ametoka bungeni na kwenda nyumbani kwakwe kwa ajili ya chakula cha mchana
.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo ni kwamba amekimbizwa hospitali na sasa yupo chumba cha upasuaji.
Endelea kufuatilia ukurasa huu kwa ajili ya kufahamu taarifa zaidi.
Hivyo makala Kinachoendelea baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi
yaani makala yote Kinachoendelea baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kinachoendelea baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/kinachoendelea-baada-ya-tundu-lissu.html
0 Response to "Kinachoendelea baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi"
Post a Comment