title : KESI YA UHUJUMU UCHUMI DHIDI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAPIGWA KALENDA HADI OKTOBA 12,2017.
kiungo : KESI YA UHUJUMU UCHUMI DHIDI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAPIGWA KALENDA HADI OKTOBA 12,2017.
KESI YA UHUJUMU UCHUMI DHIDI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAPIGWA KALENDA HADI OKTOBA 12,2017.
Mkurugenzi wa Tathmini, Archard Alphonce Kalugendo (49) na Mthamini wa Madini ya Almas wa Serikali, Edward Joseph Rweyemamu (50) wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.
UPANDE wa Mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya bilioni mbili, inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Tathmini, Archard Alphonce Kalugendo (49) na Mthamini wa Madini ya Almas wa Serikali, Edward Joseph Rweyemamu (50) umeieleza mahakama kuwa, sehemu kubwa ya upeleleIezi dhidi ya kesi hiyo umekamilika.
Aidha wamedai kuwa wako kwenye majadiliano kuona kama wataongeza washtakiwa wengine au la.
Aidha upande wa utetzi umeiomba mahakama tarehe itakayofuata upande wa mashtaka uje ueleze hatua ya upelelezi ilipofikia.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Octoba 12 mwaka huu.
Katika kesi hiyo, Kalugendo ambaye ni Mkazi wa Kinyerezi na Rweyemamu anayeishi Mwananyamala ni waajiriwa wa Wizara ya Nishati na Madini wanadaiwa kati ya Agosti 25 na ,31, mwaka huu, katika maeneo mbalimbali kati ya Dar es Salaam na Shinyanga washtakiwa
wakiwa wathamini walioajiliwa na Wizara ya Nishati na Madini waliisababishia serikali ya hasara ya USD 1,118,291.43 Ambayo no sawa na 2,486,396,982.54.
Hivyo makala KESI YA UHUJUMU UCHUMI DHIDI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAPIGWA KALENDA HADI OKTOBA 12,2017.
yaani makala yote KESI YA UHUJUMU UCHUMI DHIDI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAPIGWA KALENDA HADI OKTOBA 12,2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KESI YA UHUJUMU UCHUMI DHIDI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAPIGWA KALENDA HADI OKTOBA 12,2017. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/kesi-ya-uhujumu-uchumi-dhidi-ya.html
0 Response to "KESI YA UHUJUMU UCHUMI DHIDI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAPIGWA KALENDA HADI OKTOBA 12,2017."
Post a Comment