MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAFANA

MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAFANA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAFANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAFANA
kiungo : MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAFANA

soma pia


MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAFANA

 Wafanyakazi wa Tigo walioshiriki katika mbio ndefu za Tigo Dodoma Half Marathon wakiwa na bango linalosema 'Tumekusoma' kabla ya kuanza kwa mbio hizo ndefu jijini Dodoma leo. Tumekusoma ni kampeni mpya ya Tigo inayolenga kuwapa wateja wake urahisi wa kutumia huduma za simu pamoja na faida zaidi za bonasi kila watakapotumia namba mpya ya *147*00# kununua muda wa maongezi, bando, data na kufanya miamala ya fedha.
Baadhi ya waheshimiwa wabunge wa bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na medali na vyeti walivyotunukiwa kwa kushiriki mbio ndefu za Tigo Dodoma Half Marathon zilizofanyika katika jiji la Dodoma jana.
Naongoza kwa mfano na vitendo. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dr Hamisi Kigwangala akimalizamio ndefu za Tigo Dodoma Half Marathon zilizofanyika katika jiji la Dodoma jana. Mhe Dr. Kigwangala alishiriki katika mbio za kilometa 21.
Mshindi wa mbio za Tigo Dodoma Half Marathon (wanaume), Dickson Allan wa Mara akipokea zawadi zake za ushindi kutoka kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Juliana SHoza baada ya kumalizika kwa mbio hizo jijino Dodoma jana.



Hivyo makala MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAFANA

yaani makala yote MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAFANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/mbio-za-tigo-dodoma-half-marathon-zafana.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAFANA"

Post a Comment