JKU NA MIEMBENI CITY SEPTEMBA 19 NGAO YA JAMII AMAAN

JKU NA MIEMBENI CITY SEPTEMBA 19 NGAO YA JAMII AMAAN - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JKU NA MIEMBENI CITY SEPTEMBA 19 NGAO YA JAMII AMAAN, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JKU NA MIEMBENI CITY SEPTEMBA 19 NGAO YA JAMII AMAAN
kiungo : JKU NA MIEMBENI CITY SEPTEMBA 19 NGAO YA JAMII AMAAN

soma pia


JKU NA MIEMBENI CITY SEPTEMBA 19 NGAO YA JAMII AMAAN



Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka ya Zanzibar timu ya JKU, pamoja na mabingwa wa ligi daraja la kwanza Taifa timu ya Miembeni City watakutana Jumanne Septemba 19, 
mwaka huu kwenye Uwanja wa Amaan katika mchezo wa Ngao ya Jamii kuashiria kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu soka Visiwani Zanzibar mchezo ambao utapigwa majira ya saa 10:00 za jioni.
Mjumbe wa ZFA Taifa kutoka Wilaya ya Mjini Abdul-Wahab Dau Hajiameuambia Mtandao huu kwamba, Ligi Kuu yenyewe itaanza rasmi Oktoba 3, 2017 na mchezo wa ngao utapigwa Septemba 19, 2017.
Amesema wanacheza JKU na Miembeni City kwa kuwa ndio wenye sifa ya kucheza mchezo wa Ngao kutokana na kufanya vyema msimu uliopita katika madaraja yao.

“Mchezo wa Ngao utachezwa Jumanne ijayo kati ya Miembeni city na JKU, huu ni mchezo wa kufungua ligi kuu ya Zanzibar, JKU ni Bingwa wa ligi kuu na City ni Bingwa wa daraja la kwanza hivyo lazima wacheze wao Ngao”. Alisema Dau.


Hivyo makala JKU NA MIEMBENI CITY SEPTEMBA 19 NGAO YA JAMII AMAAN

yaani makala yote JKU NA MIEMBENI CITY SEPTEMBA 19 NGAO YA JAMII AMAAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JKU NA MIEMBENI CITY SEPTEMBA 19 NGAO YA JAMII AMAAN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/jku-na-miembeni-city-septemba-19-ngao.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JKU NA MIEMBENI CITY SEPTEMBA 19 NGAO YA JAMII AMAAN"

Post a Comment