Saint Gobain yatoa mafunzo kwa wadau wa Ujenzi Tanzania

Saint Gobain yatoa mafunzo kwa wadau wa Ujenzi Tanzania - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Saint Gobain yatoa mafunzo kwa wadau wa Ujenzi Tanzania, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Saint Gobain yatoa mafunzo kwa wadau wa Ujenzi Tanzania
kiungo : Saint Gobain yatoa mafunzo kwa wadau wa Ujenzi Tanzania

soma pia


Saint Gobain yatoa mafunzo kwa wadau wa Ujenzi Tanzania

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

KUMALIZIKA kwa jengo vizuri ni ndoto ya kila mhandisi/kampuni wa majengo, lakini wakati mwingine mambo yanaenda kinyume na matarajio kutokana na ukosefu wa maarifa au ujuzi na aina ya vifaa vinavyotumika.

Kampuni ya Imports International Tanzania Ltd ambayo ni waagizaji na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi leo iliendesha warsha ya mafunzo juu ya matumizi ya vifaa vya drywall gypsum partition and pro-plaster wall finish ambavyo ni kwa ajili ya kumalizia ukuta kutoka Saint Gobain ambao ndiyo watengenezaji wa vifaa hivyo – mafunzo yalifanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.

Akizungumza katika mkutano mfupi wa waandishi wa habari, Mkurugenzi Mtendaji ,Trushal Jethwa alisema lengo la mafunzo lilikuwa ni kuwaleta pamoja makandarasi, wasambazaji na wafanyabiashara ili kuwajulisha kuhusu maendeleo ya hivi karibuni katika sekta ya ujenzi ambayo ina ushindani mkubwa sana.

"Katika ulimwengu ambao teknolojia inabadilika haraka sana katika sekta ya ujenzi daima ni muhimu kuwapa wadau baadhi ya maendeleo ya hivi karibuni ili tuweze kukua pamoja kama timu, haisaidii sisi kuendelea kuwa na ujuzi huu bila wajulisha wadau wetu," alisema Bw Jethwa.

Mafunzo hayo yalitolewa na Saint Gobain ambao ni wazalishaji wa gyproc ambao wanaamini kuwa aina hii ya mafunzo inasisitiza ahadi yao ya kujenga uhusiano mzuri na jamii iliyowazunguka kwa ujumla."Hapa leo Saint-Gobain wanatueleza jinsi vifaa vyao vinavyochangia maisha ya kila siku, kwa kupitia bidhaa zake, wanaonesha utaalamu wa vifaa, utamaduni wa ubunifu, ufahamu wa mahitaji ya wateja na mbinu kwa njia ya uwazi na wajibu," alisema Bw.Trushal Jethwa.

Aliongeza: "Bidhaa za leo zinaonyesha thamani tunayowaletea wateja. Ninataka kila mtu ajue mambo muhimu ambayo Saint-Gobain inasimamia pamoja na nafasi za bidhaa zetu katika maisha ya kila siku."Saint Gobain kutokea Ufaransa inapatikana katika nchi zaidi ya 67 duniani kote, mafunzo hayo pia yanatarajiwa kufanyika katika chuo cha Veta na Kariakoo kama sehemu ya uwajibikaji wao wa kijamii.
Mtaalam wa Ujenzi , Member Mashabela akitoa maelezo ya vifaa vya ujenzi kwa wahandisi na wakandarasi waliofika katika ofisi Saint Gobain kuhusiana na ujenzi wa kisasa kwa vifaa vya kisasa leo jijini Dar es Salaam.
Mtaalam wa ufundi wa Saint Gobain Development East Africa, Stanley Katabarwa (Mwenye miwani
Baadhi ya vifaa vya ujenzi


Hivyo makala Saint Gobain yatoa mafunzo kwa wadau wa Ujenzi Tanzania

yaani makala yote Saint Gobain yatoa mafunzo kwa wadau wa Ujenzi Tanzania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Saint Gobain yatoa mafunzo kwa wadau wa Ujenzi Tanzania mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/saint-gobain-yatoa-mafunzo-kwa-wadau-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Saint Gobain yatoa mafunzo kwa wadau wa Ujenzi Tanzania"

Post a Comment