title : DAU NA JAFFAR WAULA ZFA, WACHUKUA NAFASI YA HUSSEIN NA ATTAI WALIOFUKUZWA NA MKUTANO MKUU
kiungo : DAU NA JAFFAR WAULA ZFA, WACHUKUA NAFASI YA HUSSEIN NA ATTAI WALIOFUKUZWA NA MKUTANO MKUU
DAU NA JAFFAR WAULA ZFA, WACHUKUA NAFASI YA HUSSEIN NA ATTAI WALIOFUKUZWA NA MKUTANO MKUU
Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Kamati Tendaji ya ZFA Wilaya ya Mjini imemteuwa Abdul-Wahab Dau Haji kuwa mjumbe wa Wilaya hiyo kuwakilisha ZFA Taifa baada ya kujaza nafasi tupu iliyoachwa na Hussein Ali Ahmada.
Akithibitisha kupokea barua ya uteuzi huo Dau amekiri kuteuliwa kuchukua nafasi hiyo huku akihimiza ushirikiano ili wafanye kazi kwa ufanisi ndani ya ZFA.
"Ni kweli jana nimepokea barua ya kuteuliwa kuwa mjumbe wa ZFA Wilaya ya Mjini kuwakilisha ZFA Taifa, nashkuru kwa kuniamini mpaka wakaniteuwa, kubwa naomba ushirikiano ili tufanye kazi kwa ufanisi wa hali ya juu". Alisema Dau.
Wakati huo huo pia ZFA Wilaya ya Kaskazini "A" Unguja wamemteuwa Jaffar Ali Haji kuwa Mjumbe wa Wilaya hiyo kwenda kuwakilisha ZFA Taifa ambapo amejaza nafasi tupu iliyoachwa na Massoud Attai.
Wajumbe hao wawili wanachukua nafasi tupu zilizoachwa na Hussen Ali Ahmada kutoka Wilaya ya Mjini na Massoud Attai wa Kaskazini "A" Unguja ambao walifungiwa maisha kutojihusisha na Soka kutokana na sababu tofauti baada ya Mkutano Mkuu wa dharura ZFA Taifa kuwafukuza, Mkutano ambao uliofanyika April 22, 2017 katika Ukumbi wa Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.
Hivyo makala DAU NA JAFFAR WAULA ZFA, WACHUKUA NAFASI YA HUSSEIN NA ATTAI WALIOFUKUZWA NA MKUTANO MKUU
yaani makala yote DAU NA JAFFAR WAULA ZFA, WACHUKUA NAFASI YA HUSSEIN NA ATTAI WALIOFUKUZWA NA MKUTANO MKUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DAU NA JAFFAR WAULA ZFA, WACHUKUA NAFASI YA HUSSEIN NA ATTAI WALIOFUKUZWA NA MKUTANO MKUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/dau-na-jaffar-waula-zfa-wachukua-nafasi.html
0 Response to "DAU NA JAFFAR WAULA ZFA, WACHUKUA NAFASI YA HUSSEIN NA ATTAI WALIOFUKUZWA NA MKUTANO MKUU"
Post a Comment