title : ANGALIA MWIZI AKISOMESHWA NAMBA BAADA YA KUPATA KIPIGO
kiungo : ANGALIA MWIZI AKISOMESHWA NAMBA BAADA YA KUPATA KIPIGO
ANGALIA MWIZI AKISOMESHWA NAMBA BAADA YA KUPATA KIPIGO
Katika kuangalia kwa makini, akamwona mama aliyeingia akipakua chakula na kuweka kwenye hotpot; mara mama yule akachukua kichupa kidogo kwenye sidiria yake na kumimina kilichokuwemo kwenye kichupa kwenye hotpot kisha akaficha tena kile kichupa. Mara yule Mama akapotelea mahali ambako alihisi ni chumbani maana alisikia sauti ya mwanaume huko ndani ikisema "haya mume wake, chakula tayari twende tukale." Muda kidogo ukapita, mumewe alikafika sebuleni na kukaa kwenye meza ya chakula. Alikuwa peje yake, akakaa mezani akamwita mkewe nayr aje kula; mara ikasikika sauti kutoka chumbani ikisrma "endelea mume wangu, mimi naoga kwanza." Yule mwizi akasikitika sana na kumuonea huruma yule baba akiwa na imani kuwa amewekewa sumu kwenye chakula. Ndipo akaamua kujitokeza na kumuomba radhi yule baba kuwa yeye ni mwizi ila ameona amsaidie kabla hajala kile chakula kwa sababu kilikuwa na sumu. Awali yule baba alishtuka akiwa na mchanganyiko wa hasira dhidi ya yule mwizi lakini akajisemea moyoni kwamba ngoja nimfunge kamba kisha hiki chakula nimpe mbwa. Yule mwizi akasema "nifanye unachotaka lakini naomba sana usile hicho chakula." Baba akaamua kujaribu kile chakula kama kweli kina sumu kwa kumpa mbwa wao; akamtaka yule mwizi arudi alipokuwa amejifika kisha akamwita mwanawe akampe kile chakula mbwa wao na ahakikishe anakula chote. Baada ya kama dakika tano yule mbwa akiwa anaendelea kula kile chakula alianguka na akafa pale pale mwili wake ukiwa umevimba. JE, UNGEKUWA NDIO BABA MWENYE NYUMBA UNGEMFANYA NINI HUYU MWIZI? |
Hivyo makala ANGALIA MWIZI AKISOMESHWA NAMBA BAADA YA KUPATA KIPIGO
yaani makala yote ANGALIA MWIZI AKISOMESHWA NAMBA BAADA YA KUPATA KIPIGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ANGALIA MWIZI AKISOMESHWA NAMBA BAADA YA KUPATA KIPIGO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/angalia-mwizi-akisomeshwa-namba-baada.html
0 Response to "ANGALIA MWIZI AKISOMESHWA NAMBA BAADA YA KUPATA KIPIGO"
Post a Comment