IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA RWANDA

IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA RWANDA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA RWANDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA RWANDA
kiungo : IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA RWANDA

soma pia


IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA RWANDA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda DCG Dan Munyuza, leo 30/10/2018 walipokutana katika eneo la Kirehe karibu na mpaka unaotenganisha nchi hizo mbili Tanzania na Rwanda ambapo baadae watafanya kikao cha Ujirani mwema kitakachojadili masuala mbalimbali ya kiusalama baina ya nchi hizo mbili. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akiwa amefuatana na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda DCG Dan Munyuza, leo 30/10/2018 wakivuka mpaka unaotenganisha nchi hizo mbili Tanzania na Rwanda na kuingia eneo la Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera kwa ajili ya kikao cha ujirani mwema kitakachojadili masuala mbalimbali ya kiusalama baina ya nchi hizo mbili. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Rwanda DCG Dan Munyuza, wakati wa kikao cha ujirani mwema kinachofanyika Rusumo wilayani Ngara mpakani mwa Tanzania na Rwanda leo 30/10/2018. Picha na Jeshi la Polisi Tanzania.
Kikao kikiendelea


Hivyo makala IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA RWANDA

yaani makala yote IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA RWANDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA RWANDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/igp-sirro-akutana-na-igp-wa-rwanda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AKUTANA NA IGP WA RWANDA"

Post a Comment