WAZIRI UMMY MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATE WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA

WAZIRI UMMY MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATE WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI UMMY MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATE WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI UMMY MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATE WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA
kiungo : WAZIRI UMMY MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATE WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA

soma pia


WAZIRI UMMY MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATE WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA

Mwambawahabari

bil1
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kushoto akikata utepe kuashiria uzinduzi  wa mpango wa mfumo  wa matumizi  ya kielektroniki katika sekta ya afya  uliofanyika jijini Dar es salaam  katikati ni  Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates na kulia ni Waziri wa TAMISEMI Simbachawene.
bil2
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kushoto akimkabidhi zawadi Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates wakati wa uzinduzi  wa mpango wa mfumo  wa matumizi  ya kielektroniki katika sekta ya afya uliofanyika jijini Dar es salaam.
bil3
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kushoto akionyesha kitabu cha  mpango wa mfumo  wa matumizi  ya kielektroniki katika sekta ya afya  uliofanyika jijini Dar es salaam pamoja na  Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates katikati na kulia ni Waziri wa TAMISEMI Simba Chawene.
bil4
Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta ya afya hawapo pichani wakati wa uzinduzi  wa mpango wa mfumo  wa matumizi  ya kielektroniki katika sekta ya afya  uliofanyika jijini Dar es salaam.
bil5
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta ya afya hawapo pichani wakati wa uzinduzi  wa mpango wa mfumo  wa matumizi  ya kielektroniki katika sekta ya afya unaosimamiwa na Taasisi ya Bilionea Billgate Bill & Melinda Gates  uliofanyika jijini Dar es salaam.
bil6
Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates wa kwanza kushoto akisaini kitabu cha wageni wakati alipokutana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa pili kushoto katika  ofisi ndogo  ya wizara hiyo jijini Dar es salaam ili kuzindua mpango wa mfumo  wa matumizi  ya kielektroniki katika sekta ya afya.
bil7
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katikati waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa afya wa kwanza kulia ni  Mwenyekiti mwenza wa Bill & Melinda gates foundation,bilionea Bill Gates na Katibu Mkuu Afya, Dkt. Mpoki Ulisubisya kushoto  katika  ofisi ndogo  ya wizara hiyo jijini Dar es salaam ili kuzindua mpango wa mfumo  wa matumizi  ya kielektroniki katika sekta ya afya.
bil8
Wadau mbalimbali wa sekta ya afya wakimsikiliza kwa makini  Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu hayupo pichani  jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa mpango wa mfumo  wa matumizi  ya kielektroniki katika sekta ya afya.


Hivyo makala WAZIRI UMMY MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATE WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA

yaani makala yote WAZIRI UMMY MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATE WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI UMMY MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATE WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/waziri-ummy-mwalimu-waziri-simbachawene_10.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI UMMY MWALIMU, WAZIRI SIMBACHAWENE NA BILIONEA BILLGATE WAZINDUA MFUMO WA MATUMIZI YA KIELEKTRONIKI KATIKA SEKTA YA AFYA"

Post a Comment