Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Ardhi Dar es Salaam - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Ardhi Dar es Salaam, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Ardhi Dar es Salaamkiungo :
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Ardhi Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Ardhi Dar es Salaam
 |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) Tabitha Siwale wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo hicho Dar es Salaam jana. Kutoka (kwa waziri Mkuu) ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Prof Joyce Nadlichako, Mkuu wa ARU, Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya, Makamu Mkuu wa ARU, Prof Evaristo Riwa na Rais wa Jumuiya ya ARU, Haruna Masebu.
|
 |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa pili kushoto), Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Prof Joyce Nadlichako (wa nne kushoto), Mkuu wa ARU, Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya (kushoto) na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi wakionesha kitabu kilichozunduliwa wakati ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo hicho Dar es Salaam jana. Pamoja nao (wa tatu kushoto) ni Mwenyekiti wa ARU, Tabitha Siwale, Makamu Mkuu wa ARU, Prof Evaristo Riwa (kulia) na Rais wa Jumuiya ya ARU, Haruna Masebu. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria ufunguzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo hicho Dar es Salaam jana. Pamoja naye ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Prof Joyce Ndalichako (wa tatu kushoto), Mkuu wa ARU, Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya (wa nne kushoto), mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi (wa tatu kulia), Mwenyekiti wa ARU, Tabitha Siwale (kushoto), Makamu Mkuu wa ARU, Prof Evaristo Riwa (kulia) na Rais wa Jumuiya ya ARU, Haruna Masebu. Picha na Robert Okanda Blogs
Hivyo makala Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Ardhi Dar es Salaam
yaani makala yote Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Ardhi Dar es Salaam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Ardhi Dar es Salaam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-afungua-wa.html
0 Response to "Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afungua wa maadhimisho ya miaka 10 ya chuo cha Ardhi Dar es Salaam"
Post a Comment