WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WACUBA KUJENGA VIWANDA TANZANIA

WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WACUBA KUJENGA VIWANDA TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WACUBA KUJENGA VIWANDA TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WACUBA KUJENGA VIWANDA TANZANIA
kiungo : WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WACUBA KUJENGA VIWANDA TANZANIA

soma pia


WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WACUBA KUJENGA VIWANDA TANZANIA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini Tanzania, Balozi Lucas Domingo Polledo, ambapo amewakaribisha wafanyabiashara wa Cuba kuja kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya dawa. 

Amesema kwa sasa Serikali ya Tanzania inaagiza dawa kutoka nje ya nchi jambo ambalo linasababisha kutumia fedha nyingi, hivyo uwepo wa kiwanda utasaidia katika kupunguza gharama. Pia wawekezaji watakuwa na uhakika wa soko la bidhaa zao. 

Waziri Mkuu aliyasema hayo jana jioni (Jumanne, Agosti 22, 2017) wakati akizungumza na Balozi Polledo mjini Havana. Waziri Mkuu yuko nchini Cuba kwa ajili ya ziara ya kikazi yenye lengo la kudumisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili. 

Alisema Serikali imedhamiria kuendeleza sekta ya viwanda nchini kama mkakati wa kukuza uchumi na kufikia uchumi wa kati, hivyo wafanyabiashara kutoka nchini Cuba wanakaribishwa kuja kuwekeza nchini, hususani katika viwanda vya dawa na sukari. 

Waziri Mkuu alisema licha ya Tanzania kuwa ni nchi ya amani na yenye utulivu wa kisiasa, pia imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji jambo ambalo litawawezesha watakaokuja kuwekeza nchini kupata tija. 


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia) akisalimiana na Balozi wa Cuba Nnchini Tanzania Bwana Lucas Domingo Polledo walipo kutana kwa mazungumzo ya kikazi jana August 22/2017 akiwa katika ziara ya kikazi Havana Cuba. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.



Hivyo makala WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WACUBA KUJENGA VIWANDA TANZANIA

yaani makala yote WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WACUBA KUJENGA VIWANDA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WACUBA KUJENGA VIWANDA TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/waziri-mkuu-awakaribisha-wacuba-kujenga_23.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WACUBA KUJENGA VIWANDA TANZANIA"

Post a Comment