WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KISASA KATIKA KILIMO

WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KISASA KATIKA KILIMO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KISASA KATIKA KILIMO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KISASA KATIKA KILIMO
kiungo : WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KISASA KATIKA KILIMO

soma pia


WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KISASA KATIKA KILIMO


WATANZANIA wameshauriwa kutumia teknolojia za kisasa katika kada za kilimo,mifugo na uvuvi ili kujipatia ajira na kipato na hatimaye kukuza lengo la uchumi wa viwanda.

Ushauri huo ulitolewa jana jijini Arusha na Mkuu wa Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika kutoka Halmashauri ya Mji wa Babati Bw,Daniel Luther wakati akiongea na gazeti hili kwenye maonesho ya kilimo na mifugo Nane nane yenye kauli mbiu Zalisha kwa tija,mazao na bidhaa za kilimo,mifugo na uvuvi ili kufikia uchumi wa kati ambapo kwa kanda ya Kaskazini yanafanyika mkoani Arusha.

Luther alisema kuwa endapo watanzania wataamua kuwekeza nguvu zao katika teknolojia hizo ikiwemo ufugaji wa samaki wataweza kujiingizia kipato katika ngazi ya kaya kupitia samaki watakazozalisha.

"Ufugaji wa samaki kisasa si lazima uwe na eneo kubwa hata eneo dogo nyumbani kwako unaweza ukafuga ama hata katika simtank,madyaba ama pipa ili mradi eneo hilo liwe na hewa pamoja na usafi wa mazingira ya maji ya kuhifadhia samaki wako.

Mkuu wa Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika kutoka Halmashauri ya Mji wa Babati Bw,Daniel Luther wakati akiongea na waandishi wa habari katika maonesho ya kilimo na mifugo Nane nane yenye kauli mbiu Zalisha kwa tija,mazao na bidhaa za kilimo,mifugo na uvuvi ili kufikia uchumi wa kati ambapo kwa kanda ya Kaskazini yanafanyika mkoani Arusha.(Picha na Pamela Mollel)
Mkuu wa Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika kutoka Halmashauri ya Mji wa Babati Bw,Daniel Luther wakati akiongea na wananchi hili katika maonesho ya kilimo na mifugo Nane nane yenye kauli mbiu Zalisha kwa tija,mazao na bidhaa za kilimo,mifugo na uvuvi ili kufikia uchumi wa kati ambapo kwa kanda ya Kaskazini yanafanyika mkoani Arusha.
Wananchi wakiwa wanaangalia bwawa la samaki katika banda la halmashauri ya mji wa Babati katika maonyesho ya nane nane



Hivyo makala WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KISASA KATIKA KILIMO

yaani makala yote WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KISASA KATIKA KILIMO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KISASA KATIKA KILIMO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/watanzania-washauriwa-kutumia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WATANZANIA WASHAURIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA ZA KISASA KATIKA KILIMO"

Post a Comment