Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba. - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba.kiungo :
Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba.
Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba.
Kijana Hamad Juma wa kwanza kulia kutoka baraza la Vijana Shehia ya Mvumoni Furaha Wilaya ya Chake Chake, akiwa na wenzake wakiwashikilia ngombe waliokabidhiwa na shirika la DIRECT AID wenyethamani ya shilingi laki tatu (300,000/=) kwa lengo la kuwasaidia vijana hao kuondokana na umaskini.
Afisa Mipango Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Omar Juma Ali akimkabidhi ng'ombe mmoja wa Vijana kutoka Baraza la Vijana Shehia ya Mvumoni Wilaya ya Chake Chake, waliotolwa na Shirika la DIRECT AID wenye thamani ya shilingi laki tatu (300,000/=)kwa lengo la kuwasaidia vijana hao kuondokana na umaskini.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba).
Hivyo makala Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/shirika-la-direct-aid-lakabidhi-ngombe.html
Related Posts :
Rais Dkt. Shein Azungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan JIJINI ABU DHABI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, M… Read More...
BREAKING NEWZZZZ: "NABII" TITO ATIWA MBARONI MJINI DODOMA LEO… Read More...
Elimu : Naibu Waziri, William Ole Nasha Ataka Vifaa vyenye thamani ya Sh 14 Bilioni Kufungwa Haraka
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,William Ole Nasha akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya tisa ya Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)… Read More...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Mtukufu Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi na Naibu Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya (UAE)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Balozi wa Tanzania katika Nchi za Umoja wa Falme za K… Read More...
KIVUKO CHA SERIKALI CHA MV MISUNGWI KIKIPIGA MZIGO
Kivuko cha serikali cha MV Misungwi, Busisi jijini Mwanza, kikitokea mjini kupeleka wananchi maeneo ya Sengerema, mkoa wa Geita. Kivuko cha… Read More...
0 Response to "Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba."
Post a Comment