Vurugu Kenya: Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Raila Odinga

Vurugu Kenya: Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Raila Odinga - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Vurugu Kenya: Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Raila Odinga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Vurugu Kenya: Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Raila Odinga
kiungo : Vurugu Kenya: Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Raila Odinga

soma pia


Vurugu Kenya: Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Raila Odinga


Jeshi la Polisi katika Mji wa Kisumu, nchini Kenya limelazimika kuanza kutumia nguvu kuwatawanya kundi la vijana waliojitokeza mtaani kuanza kuchoma matairi ya magari, wakidai kuibiwa kura kwa mgombea wao wa urais anayeungwa mkono na Muungano wa Nasa, Raila Odinga.

Tukio hilo limetokea baada ya saa chache Odinga kujitokeza mbele ya vyombo vya habari akituhumu uchakachuaji wa kura zake uliofanywa na Tume ya Uchaguzi isiyokuwa na mipaka (IEBC) wakati wa tukio la kuhesabu kura.

Wananchi nchini Kenya walipiga kura katika Uchaguzi Mkuu siku ya jana ,kabla ya vituo hiyo kufungwa kuanzia saa 11:00 jioni.

Polisi walilazimika kutumia nguvu huku wakirusha risasi hewani ili kuwatawanya.

Baadaye Polisi iliamua kuondoa mawe yaliyokuwa yametegwa na vijana hao barabarani.

Katika hatua nyingine, kuna taarifa za kupigana kwa wafuasi wa wagombea ubunge katika kituo vha kujumlishia matokeo , kilichopo Mji wa Mokewe, uliopo Lamu kabla ya Polisi kuwasili eneo la tukio na kurejesha hali ya utulivu


Advertisement


Hivyo makala Vurugu Kenya: Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Raila Odinga

yaani makala yote Vurugu Kenya: Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Raila Odinga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Vurugu Kenya: Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Raila Odinga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/vurugu-kenya-polisi-watumia-mabomu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Vurugu Kenya: Polisi Watumia Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Raila Odinga"

Post a Comment