VODACOM, SERIKALI WASAINI MKATABA WA KUPELEKA MAWASILIANO VIJINI

VODACOM, SERIKALI WASAINI MKATABA WA KUPELEKA MAWASILIANO VIJINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VODACOM, SERIKALI WASAINI MKATABA WA KUPELEKA MAWASILIANO VIJINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VODACOM, SERIKALI WASAINI MKATABA WA KUPELEKA MAWASILIANO VIJINI
kiungo : VODACOM, SERIKALI WASAINI MKATABA WA KUPELEKA MAWASILIANO VIJINI

soma pia


VODACOM, SERIKALI WASAINI MKATABA WA KUPELEKA MAWASILIANO VIJINI

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (katikati) akiwashuhudia Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi Peter Ulanga, (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao (kulia) wakisaini mkataba wa kusambaza mawasiliano ya simu kwa kujenga miundombinu maeneo ya vijijini. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (katikati) akiwashuhudia Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi Peter Ulanga, (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Ian Ferrao (kulia) wakibadilishana hati baada ya kusaini mkataba utakaowezesha kusambaza Mawasiliano kwa wote hususani vijijini. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mnyaa Mbarawa, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kusaini mkataba utakaowezesha kusambaza Mawasiliano kwa wote hususani vijijini. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Bw.Ian Ferrao, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwaniaba ya makampuni yote ya simu nchini wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa kusambaza mawasiliano ya simu kwa kujenga miundombinu maeneo ya vijijini. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam leo.


Hivyo makala VODACOM, SERIKALI WASAINI MKATABA WA KUPELEKA MAWASILIANO VIJINI

yaani makala yote VODACOM, SERIKALI WASAINI MKATABA WA KUPELEKA MAWASILIANO VIJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM, SERIKALI WASAINI MKATABA WA KUPELEKA MAWASILIANO VIJINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/vodacom-serikali-wasaini-mkataba-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "VODACOM, SERIKALI WASAINI MKATABA WA KUPELEKA MAWASILIANO VIJINI"

Post a Comment