TAGCO WAIKUMBUKA SHULE YA FAMILIA YA MZEE LAIBON MTO WA MBU MKOANI MANYARA.

TAGCO WAIKUMBUKA SHULE YA FAMILIA YA MZEE LAIBON MTO WA MBU MKOANI MANYARA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAGCO WAIKUMBUKA SHULE YA FAMILIA YA MZEE LAIBON MTO WA MBU MKOANI MANYARA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAGCO WAIKUMBUKA SHULE YA FAMILIA YA MZEE LAIBON MTO WA MBU MKOANI MANYARA.
kiungo : TAGCO WAIKUMBUKA SHULE YA FAMILIA YA MZEE LAIBON MTO WA MBU MKOANI MANYARA.

soma pia


TAGCO WAIKUMBUKA SHULE YA FAMILIA YA MZEE LAIBON MTO WA MBU MKOANI MANYARA.


Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Habari ,Mawasiliano na Uhusuano Serikalini (TAGCO) Pascal Shelutete akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Laiboni iliyopo Mto wa Mbu mkoani Manyara ,Rashid Mohamed msaada wa Madaftari 2500 kwa ajili ya wananfunzi wanaosoma katika shule hiyo.
Mwenyekiti wa TAGCO ,Pascal Shelutete na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali ,Dkt Hassan Abbas wakigawa Daftari kwa wanafunzi wanaosoma katika shule ya Msingi Loibon.
Mwenyekiti TAGCO ,Pascal Shelutete akizungumza mara baada ya kukabidhi Msaada huo.Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Habari ,Mawasiliano na Uhusuano Serikalini (TAGCO) Pascal Shelutete akipeana mkono na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Laibon ,Rashid Mohamed wakati akikabidhi msaaada wa Matenki mawili ya kuhifadhia maji shuleni hapo .kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo.
Mwenekiti wa TAGCO ,Pascal Shelutete akizungumza jambo na Wanafunzi wanaosoma katika shule ya Msingi Loibon.
Moja ya majengo ya Shule ya Msingi Loibon iliyojengwa na Mfugaji wa Jamii ya Kimaasai,Loibon Ole Mapii baada ya Mungu kumjalia watoto Zaidi ya 200 na wajukuu Zaidi ya 400 na kulazimika kujenga shule kwa ajili ya familia yake.
Wenyeji wa eneo ilipo shule hiyo Jamii ya Wafugaji wa Kimasaai waliandaa Nyama kwa ajili ya ugeni uliotembelea shule hiyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Habari,Mawasiliano na Uhusiano Serikalini (TAGCO) Pascal Shelutete na maafiwa Habar wenzake wakingojea kipande cha nyama .Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Arusha.


Hivyo makala TAGCO WAIKUMBUKA SHULE YA FAMILIA YA MZEE LAIBON MTO WA MBU MKOANI MANYARA.

yaani makala yote TAGCO WAIKUMBUKA SHULE YA FAMILIA YA MZEE LAIBON MTO WA MBU MKOANI MANYARA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAGCO WAIKUMBUKA SHULE YA FAMILIA YA MZEE LAIBON MTO WA MBU MKOANI MANYARA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/tagco-waikumbuka-shule-ya-familia-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAGCO WAIKUMBUKA SHULE YA FAMILIA YA MZEE LAIBON MTO WA MBU MKOANI MANYARA."

Post a Comment