TFF Yawaangukia Simba Ngao ya Jamii

TFF Yawaangukia Simba Ngao ya Jamii - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFF Yawaangukia Simba Ngao ya Jamii, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFF Yawaangukia Simba Ngao ya Jamii
kiungo : TFF Yawaangukia Simba Ngao ya Jamii

soma pia


TFF Yawaangukia Simba Ngao ya Jamii

TFF Yawaangukia Simba Ngao ya Jamii

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linaomba radhi wanafamilia wote wa mpira wa miguu kutokana na makosa ya maandishi yaliyoonekana kwenye utambulisho wa Ngao ya Jamii iliyotolewa Jumatano Agosti 23, 2017.

Ngao hiyo ilitolewa mara baada ya mchezo uliokutanisha timu za Simba SC na Yanga SC za Dar es Salaam kwenye Uwanja Mkuu wa Taifa jijini. Katika mchezo huo, Simba ilishinda kwa mikwaju ya penalti 5-4 dhidi ya Yanga na kutwaa Ngao hiyo.

Watanzania hususani wanafamilia ya mpira wa miguu popote pale, TFF hatujapokea vizuri mwonekana wenye makosa kwenye Ngao hiyo ya Jamii kama ambavyo wadau hawajapokea vema suala hili.

Kutokana na makosa hayo, Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, tayari amechukua hatua za kinidhamu kwa watumishi waliohusika kadhalika kuwasiliana na uongozi wa Simba SC kuirejesha Ngao hiyo ili kufanyiwa marekebisho yatakayobaki kwenye kumbukumbu sahihi 


Hivyo makala TFF Yawaangukia Simba Ngao ya Jamii

yaani makala yote TFF Yawaangukia Simba Ngao ya Jamii Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFF Yawaangukia Simba Ngao ya Jamii mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/tff-yawaangukia-simba-ngao-ya-jamii.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TFF Yawaangukia Simba Ngao ya Jamii"

Post a Comment