GIGY MONEY AFICHUA JINSI MAPENZI YALIVYOSABABISHA KUJITOA UFAHAMU

GIGY MONEY AFICHUA JINSI MAPENZI YALIVYOSABABISHA KUJITOA UFAHAMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa GIGY MONEY AFICHUA JINSI MAPENZI YALIVYOSABABISHA KUJITOA UFAHAMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : GIGY MONEY AFICHUA JINSI MAPENZI YALIVYOSABABISHA KUJITOA UFAHAMU
kiungo : GIGY MONEY AFICHUA JINSI MAPENZI YALIVYOSABABISHA KUJITOA UFAHAMU

soma pia


GIGY MONEY AFICHUA JINSI MAPENZI YALIVYOSABABISHA KUJITOA UFAHAMU


 
Msanii na Video vixen maarufu Bongo, Gift Stanford 'Giggy Money' amefunguka na kudai kuwa mara nyingi kinachomfanya ajitoe ufahamu na kufanya vitu vya ajabu hadharani ni kutokana na kile anachokiita 'stress' za mapenzi.Akizungumza hivi karibuni Giggy amesema kuwa matukio hapa katikati yaliyotokea na mengi ya kudhalilisha ikiwepo kujirekodi video akiwa na Mwanasheria Albert Msando ni kutokana na mapenzi yalivyokuwa yakimchanganya hasa matukio ya kumfumania mpenzi wake wakati mbele za watu mpenzi wake huyo anaonekana ni mpole.Unajua wakati nafanya drama zangu watu walikuwa hawanielewi sana. Watu wananiona mimi nafuraha kila wakati lakini mimi moyoni mwangu najua nini ambacho kinaniumiza. Wakati narekodi video na Msando tayari nimeshavurugwa vya kutosha. Hata jinsi ambavyo nimepungua japo ni ukuaji lakini pia mawazo ya mapenzi yalikuwa yananisumbua sana" alisema.
Unajua niliwahi kumfumania mpenzi wangu akiwa na rafiki yangu kitandani lakini nikamwambia hebu vaa nguo twende. Siyo kitu rahisi kwa mwanamke kufanya kitu kama hicho. Ni bora kuwa na mwanaume ambaye unajua ni kicheche au mlevi kuliko mwanaume mpole ambaye kainamisha kichwa kumbe huko nyuma anamambo makubwa kabeba
Akizungumzia kuhusu warembo ambao wanapiga picha za utupu na kuziweka mitandaoni kwa kumuiga yeye Giggy amesema kutengeneza jina siyo lazima mpaka picha za utupu kwani wakati mwingine zina madhara.

"Watu wanahisi kuwa mimi nimetoboa kirahisi, ukweli mimi nimepata tabu sana na pia imenifanya nishindwe kupata hata madili makubwa makubwa kutokana na muonekano lakini sasa ma video vixen wengi ni wachafu na hawajui hilo. Wasiige vitu ambavyo hawaviezi kwa sababu tu Giggy anafanya" aliongeza.


Hivyo makala GIGY MONEY AFICHUA JINSI MAPENZI YALIVYOSABABISHA KUJITOA UFAHAMU

yaani makala yote GIGY MONEY AFICHUA JINSI MAPENZI YALIVYOSABABISHA KUJITOA UFAHAMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala GIGY MONEY AFICHUA JINSI MAPENZI YALIVYOSABABISHA KUJITOA UFAHAMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/gigy-money-afichua-jinsi-mapenzi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "GIGY MONEY AFICHUA JINSI MAPENZI YALIVYOSABABISHA KUJITOA UFAHAMU"

Post a Comment