title : Shughuli mbalimbali za kilele cha siku ya wakulima nane nane mkoani Ruvuma
kiungo : Shughuli mbalimbali za kilele cha siku ya wakulima nane nane mkoani Ruvuma
Shughuli mbalimbali za kilele cha siku ya wakulima nane nane mkoani Ruvuma
Katibu tawala msaidizi utumishi na utawala katika sekretarieti ya mkoa wa Ruvuma Bw. Biseko Bwai (kushoto) akiangalia maziwa yaliyosindikwa na mjasilimali mdogo aliyefahamika kwa jina moja la mama Tarimo wakati wa kilele cha siku ya wakulima nane nane mkoani Ruvuma jana.
Afisa kilimo kutoka halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Bw. Jibinza Masaba (kushoto) akiwaeleza baadhi ya wananchi waliofika katika maonesha ya siku ya wakulima nane nane nyanya ambazo zinaweza kuishi na kuzaa kwa muda wa miezi sita tofauti na nyanya nyingine ambazo zinaishi kwa miezi miwili.
Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Songea wakiangalia kibao kinachoonesha aina ya mbegu ya ngano na mahindi yenye uwezo wa kutoa gunia 40 kwa ekari moja katika viwanja vya nanenane wakati wa kilele cha mnaadhimisho ya siku ya wakulima mkoani Ruvuma. Picha na Muhidin Amri
Hivyo makala Shughuli mbalimbali za kilele cha siku ya wakulima nane nane mkoani Ruvuma
yaani makala yote Shughuli mbalimbali za kilele cha siku ya wakulima nane nane mkoani Ruvuma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Shughuli mbalimbali za kilele cha siku ya wakulima nane nane mkoani Ruvuma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/shughuli-mbalimbali-za-kilele-cha-siku.html
0 Response to "Shughuli mbalimbali za kilele cha siku ya wakulima nane nane mkoani Ruvuma"
Post a Comment