Shilole Akana Kukwapua Mume wa Mtu.....

Shilole Akana Kukwapua Mume wa Mtu..... - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Shilole Akana Kukwapua Mume wa Mtu....., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Shilole Akana Kukwapua Mume wa Mtu.....
kiungo : Shilole Akana Kukwapua Mume wa Mtu.....

soma pia


Shilole Akana Kukwapua Mume wa Mtu.....


Msanii wa mziki Bongo, Shilole amekatana kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.

Hayo yamebuika mara baada ya muimbaji huyo kutangaza kuolewa ndani ya mwaka huu na mipango yote ya ndoa kukamilika kama kutolewa mahari.

 “Siyo kweli sijanyangamya mume wa mtu, huyo bwana alikuwa naye lakini waliachana, before hata yangu, kwa hiyo haya mambo yanatokea kwa sisi haswa watu wa mashughuli mjini, huyo dada kusikia nipo na huyu kaka leo itakuwa inamchoma, hapo ndipo panaanzia utata,” Shilole amekiambia kipindi cha Mitikisiko ya Pwani cha Times Fm.

Hata hivyo amesema kuwa suala hilo halimuumizi kwa sababu ukweli anaujua, huku akiongeza mume wake mtarajiwa amekubali kazi yake anayofanya (muziki).

 “Ndiyo amekubali kwa sababu amenikuta kwenye muziki na ndio kazi yangu na ameanza kunijua kupitia muziki wangu, kwa hiyo lazima anisapoti na anapenda kazi yangu,” amesisitiza.



Hivyo makala Shilole Akana Kukwapua Mume wa Mtu.....

yaani makala yote Shilole Akana Kukwapua Mume wa Mtu..... Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Shilole Akana Kukwapua Mume wa Mtu..... mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/shilole-akana-kukwapua-mume-wa-mtu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Shilole Akana Kukwapua Mume wa Mtu....."

Post a Comment