Lulu Diva adai Wizkid hakuambulia kitu kwake

Lulu Diva adai Wizkid hakuambulia kitu kwake - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Lulu Diva adai Wizkid hakuambulia kitu kwake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Lulu Diva adai Wizkid hakuambulia kitu kwake
kiungo : Lulu Diva adai Wizkid hakuambulia kitu kwake

soma pia


Lulu Diva adai Wizkid hakuambulia kitu kwake

Msanii wa Bongo Flava, Lulu Diva amekanusha tetesi za kuwahi kutoka kimapenzi na msanii Wizkid kutoka nchini Nigeria.
Hitmaker huyo wa Usimwache na Utamu ambaye kwa sasa ameachia ngoma mpya ‘Give It To Me’, ameiambia Clouds Fm kuwa yeye kukutana na Wizkid ilikuwa ni mipango ya kazi na si vinginevyo.
“Alikuwa na special appearance na mimi nilikuwepo siku hiyo na tulipanga mimi na meneja wangu kwa sababu kuna mtu alikuwa anajuana naye alimuita Wizkid pale, kwa hiyo waliongea kuwa tunaenda kukutana kama wasanii na tuliongea kuhusu muziki, so we have fan pale na ikaishia hapo hakukua na kitu kingine,” amesema na kuongeza.
“After party hakuna niliwahi kuondoka tuliongea kuhusu muziki tu…, yeah tutarajie kitu kwa sababu yeye ni msanii na mimi ni msanii hivyo tunaweza tukafanya kitu kizuri zaidi,” amesisitiza.


Hivyo makala Lulu Diva adai Wizkid hakuambulia kitu kwake

yaani makala yote Lulu Diva adai Wizkid hakuambulia kitu kwake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Lulu Diva adai Wizkid hakuambulia kitu kwake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/lulu-diva-adai-wizkid-hakuambulia-kitu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Lulu Diva adai Wizkid hakuambulia kitu kwake"

Post a Comment