title : SHEREHE ZA SIMBA DAY ZAFANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR, NYOTA WAPYA WA SIMBA WATAMBULISHWA
kiungo : SHEREHE ZA SIMBA DAY ZAFANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR, NYOTA WAPYA WA SIMBA WATAMBULISHWA
SHEREHE ZA SIMBA DAY ZAFANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR, NYOTA WAPYA WA SIMBA WATAMBULISHWA
Mabeki wa timu ya Simba, Jonas Mkude (kulia) na Mzamiru Yassin wakichuana na Mshambuliji wa Timu ya Rayon Sports ya nchini Rwanda, katika mchezo wa kujipima nguvu ikiwa ni sehemu ya Sherehe za kuadhimisha miaka 81 toka kuanzishwa kwa timu hiyo, zinazofahamika kama Simba Day. Mchezo huo umemalizika jioni hii katika dimba la Taifa, jijini Dar es salaam. Simba imeshinda bao 1-0 .
Beki wa Timu ya Rayon Sports ya nchini Rwanda akionyesha umahiri wake wa kuondosha mpira wa hatari langoni mwake, katika mchezo wa kujipima nguvu ikiwa ni sehemu ya Sherehe za kuadhimisha miaka 81 toka kuanzishwa kwa timu hiyo, zinazofahamika kama Simba Day. Mchezo huo umemalizika jioni hii katika dimba la Taifa, jijini Dar es salaam. Simba imeshinda bao 1-0 .
Mshambuliaji mpya wa Timu ya Simba, John Bocco akiwa na mpira mbele ya mabeki wa timu ya Rayon Sports ya nchini Rwanda, katika mchezo wa kujipima nguvu ikiwa ni sehemu ya Sherehe za kuadhimisha miaka 81 toka kuanzishwa kwa timu hiyo, zinazofahamika kama Simba Day. Mchezo huo umemalizika jioni hii katika dimba la Taifa, jijini Dar es salaam. Simba imeshinda bao 1-0 .
Mshambuliaji mpya wa Timu ya Simba, Emmanuel Okwi akiondoka na mpira mbele ya mabeki wa timu ya Rayon Sports ya nchini Rwanda, katika mchezo wa kujipima nguvu ikiwa ni sehemu ya Sherehe za kuadhimisha miaka 81 toka kuanzishwa kwa timu hiyo, zinazofahamika kama Simba Day. Mchezo huo umemalizika jioni hii katika dimba la Taifa, jijini Dar es salaam. Simba imeshinda bao 1-0 .
Mgeni rasmi katika mchezo wa kujipima nguvu kati ya Timu ya Simba na Rayon Sports ya Rwanda, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, January Makamba (kushoto) akimuandalia, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba wakati akisalimiana na wachezaji wa timu hizo kabla kuanza kwa mechi hiyo. mwenye kaptula ni Mdhamini wa Simba, Mohamed Dewji "Mo".
Kikosi cha Rayon Sports ya Rwanda.
Kikosi cha Simba.
Hivyo makala SHEREHE ZA SIMBA DAY ZAFANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR, NYOTA WAPYA WA SIMBA WATAMBULISHWA
yaani makala yote SHEREHE ZA SIMBA DAY ZAFANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR, NYOTA WAPYA WA SIMBA WATAMBULISHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHEREHE ZA SIMBA DAY ZAFANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR, NYOTA WAPYA WA SIMBA WATAMBULISHWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/sherehe-za-simba-day-zafana-uwanja-wa.html
0 Response to "SHEREHE ZA SIMBA DAY ZAFANA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR, NYOTA WAPYA WA SIMBA WATAMBULISHWA"
Post a Comment