title : SHEREHE ZA NANENANE NI DARASA MUHIMU KWA WAKULIMA
kiungo : SHEREHE ZA NANENANE NI DARASA MUHIMU KWA WAKULIMA
SHEREHE ZA NANENANE NI DARASA MUHIMU KWA WAKULIMA
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe Joachim Wangabo (Kushoto) ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu akisikiliza kwa makini maelekezo ya Kilimo, Uvuvi na Ufugaji mara baada ya kutembelea banda la Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi wakati wa Maonesho ya Nanenane katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe Joachim Wangabo ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu akiwasili katika banda la wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi wakati wa Maonesho ya Nanenane katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe Joachim Wangabo (Kushoto) ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu akisikiliza kwa makini maelekezo kwa Mkurugenzi wa Farm Base Ltd Ndg Suleiman Msellem kuhusu Pembejeo za kilimo, na ushauri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji mara baada ya kutembelea banda la Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi wakati wa Maonesho ya Nanenane katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi
Hivyo makala SHEREHE ZA NANENANE NI DARASA MUHIMU KWA WAKULIMA
yaani makala yote SHEREHE ZA NANENANE NI DARASA MUHIMU KWA WAKULIMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHEREHE ZA NANENANE NI DARASA MUHIMU KWA WAKULIMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/sherehe-za-nanenane-ni-darasa-muhimu.html
0 Response to "SHEREHE ZA NANENANE NI DARASA MUHIMU KWA WAKULIMA"
Post a Comment