title : SERIKALI YASAJILI VIWANDA 2,536
kiungo : SERIKALI YASAJILI VIWANDA 2,536
SERIKALI YASAJILI VIWANDA 2,536
Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji imekanusha taarifa iliyotolewa na uongozi wa CHADEMA kuhusu suala la ubinafsishaji na kuwa hakuna viwanda vipya vilivyojengwa katika awamu hii kwa vile hakuna mkopo wa kuanzisha viwanda .
Taarifa iliyotolewa Jijini Dar es Salam imesema kuwa viwanda vilivyokuwepo viliuzwa kwa bei rahisi kwa kuwa wawekezaji waliovichukua waliingia mikataba ya kuviendeleza na Serikali, hivyo vilichangia mapato ya serikali na kutoa ajira.
Aidha baadhi ya wawekezaji wa viwanda vilivyobinafsishwa waliviendeleza na mpaka sasa vimeendelea kutoa mchango mkubwa katika uchumi wa nchi. Baadhi ya viwanda hivyo ni kiwanda cha Bia (TBL),KIWANDA CHA Sigara (TCC), viwanda vya saruji vya Mbeya,Tanga na Twiga.
Hata hivyo viwanda vilivyokiuka mkataba vitarudishwa serikalini ili vitangazwe kwa wawekezaji wenye uwezo wa kuviendeleza ili viendelee na uzalishaji ambao utatoa fursa ya ajira na kuingiza mapato serikalini.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala SERIKALI YASAJILI VIWANDA 2,536
yaani makala yote SERIKALI YASAJILI VIWANDA 2,536 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YASAJILI VIWANDA 2,536 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/serikali-yasajili-viwanda-2536.html
0 Response to "SERIKALI YASAJILI VIWANDA 2,536"
Post a Comment